Elections 2010 Batilda Burian karibia anadata jamani... Mlio karibu naye msaidieni

Hayo ni matokea ya kuwekwa na Mtu kugombea kwa maslahi binafsi wakati wananchi wamegundua siri hiyo.Sasa waliomuweka hapo wampigie kura,maana Wana Arusha wanamtaka mgombea wa Chadema.
 
Huyu mama ni shujaa maana anapambana vikali na madume wala hababaiki.Atashinda kwa kishindo na kuwafanya wabaki wakishangaa.
 
Ni mmoja wa wezi, wajanja na walaghai wa nchi yetu tunayejitayarisha kumtosa.
Huyu Mama Buriani kuna watu wako nyuma yake ni hatari sana kwa maendeleo ya TZ ni watuhumiwa wa ufisadi wanao waweka watu wa kuwafagilia njia yao ya wizi,wananchi tumegundua,Mungu ni mkubwa.
 


Mbona wewe unalialia kama wale mademu wa Bondeni secondary
 
Nimesikiliza mahojiano ya Buriani na BBC! Kwa kweli typical kabisa ya CCM hakuongea ktk kulenga kumsaidia mwanajimbo la Arusha. Amesema kuwa yeye ni msomi na anakubalika sana ktk mikutano yake watu wanajaa sana hasa watoto! Akaendelea kusema kuwa anafahamika sana hasa kwa wototo, na hata ukimuuliza mtoto yeyote hapo Arusha mjini atakwambia mbunge ni Buriani. Sikumsikia akiongelea hata swala moja la kisera kwa maana kuona yeye akiwa sehemu ya madiwani atajaribu kuleta mabadiliko gani. Usual stories za barabara. Kwa kweli bila upendeleo au ushabiki kwa mtu asiyemjua ni mpaka uambiwe huyo anayeongea ana PhD!! Kazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…