Mimi hata kampeni sifuratulii tena niko busy ku-study Historia ya chama tawala coming 2011.
CCM wajiandae kuchukua seat no kwenye kambi ya upinzani, kwani akitoka no 1 chandema CUF atachukua then may be ccm....
Rangi za Bendera ya chama Tawala
NYEUSI
Rangi hii inawakilisha WATU WA TANZANIA. Hii ni rangi ya wazawa asili wa nchi yetu. Ni rangi ambayo inabeba pia falsafa ya NGUVU YA UMMA.
BLUU ISIYOKOZA (LIGHT BLUE)
Hii ni rangi ya asili ya CHADEMA. Ni rangi ambayo inawasilisha HAKI. Lakini pia rangi hiyo inawakilisha BAHARI kama ishara ya maliasili/raslimaji na Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.
NYEUPE
Rangi nyeupe inawasilisha UKWELI, UWAZI na AMANI. Huu ni msingi muhimu wa CHADEMA. CHADEMA ni chama ambacho kitasimamia uadilifu kwa njia ya demokrasia.
NYEKUNDU
Rangi nyekundu inawakilisha MASHUJAA. CHADEMA inathamini historia ya nchi yetu ambayo inawasilisha kumbukumbu ya mashujaa waliotupitisha katika michakato ya mbalimbali ya demokrasia na maendeleo ikiwemo harakati za kuondoa ukoloni. Rangi hii ni chimbuko la uzalendo wetu