Elections 2010 Batilda kwisha kazi

Wewe ndiyo unataka kuwa bwabwa. Katika habari zooote, umeona hii tu ndiyo uchangie?

Wase*ge utawafahamu tu. Dr. Slaa alisema kuwa "umamrushia swali la kichokozi na akichukia, anaropoka."

Kwani Zubeda ni jina la KIUME? Wa kuja bana......!!! Halafu unajiita The king, king gani wewe?

Nenda kavae Crown na ujiite The QUEEN. You will look good too as bwabwa!!!!!

Nilikuwa sifahamu kuwa kuna ma King kama ma Queen .......



Na wewe unataka kuwa Bwabwa? :angry:
 
lol! usisahau kumpigia kura yako Rais Mtarajiwa Dr Slaa na mbunge wa chadema katika jimbo lako.
 
Hapo ndipo dili inakamilika.......JK sasa kabaki mwenyewe ataenda wapi na wapi baada ya makamanda wake wote kuingia mitini...........Hizo ndizo alama za wakati..

Wana uhakika wa wa kushinda na ndio maana hawaangaiki jamani hilo tulijue kabisaaaa.

Na nimegunga leo kuwa Majina mengi yaliyo tolewa kumbe ni ya wale waliojiandikisha kupiga kuru 2005 na wachache waliojiandikisha miaka ya karibuni ndio majina yao yamerudi.


 
Sasa unaongea kama THE KING. Nashukuru umenisoma hatimaye katikati ya Mistari..........

Kupiga kura ni lazima saaana kwa dr Slaa na siyo sisi tu ila tuwakumbushe na kuwasisitiza Dada zetu, Mama zetu, Wake zetu na Marafiki zetu wa Kike maana hawa inaweza kuwa shida kidogo na ni wepesi kusahau. Wakiona tu picha ya Muungwana, Hamira inaanza kufanya kazi.
lol! usisahau kumpigia kura yako Rais Mtarajiwa Dr Slaa na mbunge wa chadema katika jimbo lako.
 
jamani.... Naona mada inaenda kulia kushoto hii.... Lema atulie na Batilda aache rushwa
 

We acha tu miye nimeshawaweka sawa watu kama 1,500 na wamenihakikishia kwamba watapigia chadema kwa wabunge/madiwani na Dr Slaa kwa Rais. Wengine walidai hata tukipiga kura Kikwete atashinda tu au wataiba, nikawaambia nyie nendeni tu mkapige kura kwa sababu hata kama wataiba basi ni rahisi mno kuiba tofauti ikiwa ni kura 10,000 tu ukilinganisha na tofauti ya kura milioni 3 au zaidi. 😛eace:
 

Miami Heat NBA Le bron James Ndio mwataka kumfananisha na nai hapo Arusha??
 
Jamani, huyu mama batil nampa pole kwa yanayomkuta lakini pia nampongeza kwa kukubali kuingia kwenye kinyanganyiro ili awezeshe mabadiliko. Angegombea ccm mwingine pengine tusingepata jimbo hilo.

Asante mama batil, mchango wako katika ukombozi wa nchi hii utahifadhiwa vema katika historia ya taifa letu
 
DAH ROHO IMERIDHIKAA YAAAAAAAAAAAANI swaaaaafi saaaaaaaana
 

Arusha tusijetoa Makongoro mwingine wa kukojoa juu ya meza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…