Batista wa wwe kucheza mma

Hahaaaa Bautista sidhani kama ataweza huyu....lakini tutaona. Brock Lesnar mpaka sasa kafanikiwa...Bobby Lashley yeye anasuasua....muda utatuambia
 
Hahaaaa Bautista sidhani kama ataweza huyu....lakini tutaona. Brock Lesnar mpaka sasa kafanikiwa...Bobby Lashley yeye anasuasua....muda utatuambia

Mipango ni kumpambanisha na Bobby Lashley kwa pambano la kwanza...its going to be interesting to watch though inaweza isiwe ya kuvutia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…