Electromagnetism
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 482
- 126
mkuu umeniacha kidogo hio automatic inverter charge ni tofauti na inverter yenyewe au ni aina ya inverter ambayo iko ivo? Then hapo kwenye connection na plug hio charger controller kwenye tanesco harafu?? output na peleka wapi kutokea apo katika charge controllerokey hiyo ni kazi ndogo.kwanza nunua kifaa kinaitwa automatic inverter charger ya kuanzia wtt 500 ikitegemeana na matumizi.baada ya hapo kunawaya ambao utatakiwa uchomeke kwenye umeme wa tanesco alafu kuna waya mili kwenye hiyo inverter zenye clip hizo utaunganisha kwa batery zako .hiyo inverter ina sehemu ya kuplug extension hivyo chomeka extension ya vifaa vyako(tv,radio etc)alafu kunaswitch kwenye hiyo inveter ambayo inakazi ya kuchange umeme hapo ukipress upande wa kulia utapata mojakwamoja umeme wa tanesco na ukipress upande wa kulia utapata umeme wa ziada ambao hiyo iverter ilikuwa inaicharge batery yako.hiyo inverter charger ni shilingi 65000 kwa hapa arusha.
naomba namba yako brookey hiyo ni kazi ndogo.kwanza nunua kifaa kinaitwa automatic inverter charger ya kuanzia wtt 500 ikitegemeana na matumizi.baada ya hapo kunawaya ambao utatakiwa uchomeke kwenye umeme wa tanesco alafu kuna waya mili kwenye hiyo inverter zenye clip hizo utaunganisha kwa batery zako .hiyo inverter ina sehemu ya kuplug extension hivyo chomeka extension ya vifaa vyako(tv,radio etc)alafu kunaswitch kwenye hiyo inveter ambayo inakazi ya kuchange umeme hapo ukipress upande wa kulia utapata mojakwamoja umeme wa tanesco na ukipress upande wa kulia utapata umeme wa ziada ambao hiyo iverter ilikuwa inaicharge batery yako.hiyo inverter charger ni shilingi 65000 kwa hapa arusha.