Battery ipi ni nzuri kwa N60 ya IST

Battery ipi ni nzuri kwa N60 ya IST

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Wadau napenda kujua battery nzuri ya gari. Nilinunua TOP POWER hata miezi 7 haijafika inazingua mara asbh igome kuwasha gari.

Msaada kwenye tuta
 
Mkuu

Ongeza Taarifa Za Hitaji La Battery Unatumia Kwenye Gari Gani?
Baadaye Ushauri Unakuja Haraka
Unatumia Kwenye Noah, Probox, Ist, Premio, Allex, Runx Wish
 
Mkuu

Ongeza Taarifa Za Hitaji La Battery Unatumia Kwenye Gari Gani?
Baadaye Ushauri Unakuja Haraka
Unatumia Kwenye Noah, Probox, Ist, Premio, Allex, Runx Wish
IST kwa sasa nilikuwa natumia TOP POWER N50
 
Ni Kweli
Nimeona Probox Jamaa Kafunga N70 Imekaa Sawa Shida Ya Kusikiliza Radio Siyo Lazima Gari Iwe Silencer Tena
Hivi hii lugha ya gari kuwa silencer ni mazoea tu maana namna sahihi nafikiri ni gari kuwa idle au standby mode.
 
Mkuu Inategemea Unainunua Wapi

Kariakoo Unapata Bei Elekezi Ya Chama Na Serikali

Bei elekezi ndio bei gani mkuu natakiwa ninunue battery jipya yani maana battery bovu linatesa hadi gari inachukiza. Nilinunua "Maxx batt" N50 Gold edition la kikorea toka 2020 ndio limekufa mwaka huu. Nimeangalia maduka mengi kariakoo hamna lile nilinunua nikiwa Moshi nahisi lilitokea Nairobi.

Sasa mbadala ni upi kwa sasa.
 
0715756180 Mpigie Yupo Kariakoo Bakheresa Ana Duka
 
Wadau napenda kujua battery nzuri ya gari. Nilinunua TOP POWER hata miezi 7 haijafika inazingua mara asbh igome kuwasha gari.

Msaada kwenye tuta
Battery ambayo hutajuta ni Varta na inauzwa pale super doll Pugu road.
 
Achana na betri za kichina. Nunua betri za Ulaya, Korea, Thailand ukikosa hata za South Africa.

Nilikuwa na betri ya South Africa nadhani inaitwa Willard jana nimeibadilisha baada ya kutumia kwa miaka 2 na haijawai kunisumbua, nimeweka betri ya Korea ambayo nayo natumaini ikifika miaka 2 nitaibad8lisha.
 
Back
Top Bottom