profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
nilinunua battery ya gari ya focus,14 october 2021,nikapewa warranty ya miezi 6,mpaka 14 april 2022,ktk kipindi hicho haikusumbua,lakini juzi imekufaa waranti imeisha tarehe 14,battery ni N50,sijui kampuni gani wanatoa waranty ya 1year,na bat