profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Ficha hizo namba za gari kwanza alafu subiri ushaurinilinunua battery ya gari ya focus,14 october 2021,nikapewa warranty ya miezi 6,mpaka 14 april 2022,ktk kipindi hicho haikusumbua,lakini juzi imekufaa waranti imeisha tarehe 14,battery ni N50,sijui kampuni gani wanatoa waranty ya 1year,na battery nzuri.View attachment 2194087View attachment 2194088
SparkMf(Good)nilinunua battery ya gari ya focus,14 october 2021,nikapewa warranty ya miezi 6,mpaka 14 april 2022,ktk kipindi hicho haikusumbua,lakini juzi imekufaa waranti imeisha tarehe 14,battery ni N50,sijui kampuni gani wanatoa waranty ya 1year,na bat
asante mkuu.SparkMf(Good)
Powerlast(Better)
Atlas(Best)
zote warranty ni mwaka 01 karibu San kwa ushauri wa battery na battery zenyewe +255719263074