Battery ya Laptop inahitajika

bishoke

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2010
Posts
274
Reaction score
52
Wakubwa jamvini natafuta battery ya laptop. Laptop yenyewe ni hp model compaq 2510p.
Kama kuna yeyote anayeweza kuipata mpya tafadhali tuwasiliane kwa 0784 398 893 kujua bei na namna ya kuipata.

Natanguliza shukrani.
 

Hp Compaq 2510P Series Notebook/Laptop Battery - SFB-HPNC2400_21676 mimi sipo hapo bongo nipo nje ya bongo ninafikiri Battery yako ni hii hapa juu kamapicha inavyoonyesha ukikosa bongo nitaweza kukutafutia huku niliko ukikosa jaribu kunijuulisha kwa P.M. nitaweza kukusaidia
 
Mi natafuta ya Toshiba A60DU... kama kuna mwenye details please! I need it pretty bad:confused2:..
 

Asante sana MziziMkavu,
Battery ninayotafuta ndiyo yenyewe kwenye picha, ndiyo yenyewe kaka na kwa hapa dar mjini nimetafuta lakini ukweli hazipo. Nisaidie kama utaweza.

Weekend njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…