😁😁😁😁😁😁😁Mpaka sasa ngoma imeshamlalia admini. Mpaka kesho naona adimin ataachiwa kipopo cha x-mass na mwaka mpya. Kuelekea 2019, hatupendagi ujinga sisi.
NawasilishaView attachment 973374
umefanya kosa kubwa sana ku expose number za simu za wahusika hapa.Mpaka sasa ngoma imeshamlalia admini. Mpaka kesho naona adimin ataachiwa kipopo cha x-mass na mwaka mpya. Kuelekea 2019, hatupendagi ujinga sisi.
NawasilishaView attachment 973374
hhaha imebidi tu nicheke2019 haihitaji uoga mkuu
Hujaleft bado
Wewe wasema.Yatawachosha tu, ni sawa na kwenda voda kuomba list ya namba
Kwa Matumizi ya "Ile pesa Tuma kwenye Namba hii Jina litakuja Mng'ato "Jamaa wamesha save hio pic kwa matumizi yao ya baadae
Jamhuri wameshasevu mkuuJamaa wamesha save hio pic kwa matumizi yao ya baadae
Labda zote ni zake..umefanya kosa kubwa sana ku expose number za simu za wahusika hapa.