Hahah si bora hata hao mkuu,wako wale "wajuvi".Kwa Matumizi ya "Ile pesa Tuma kwenye Namba hii Jina litakuja Mng'ato "
Left... No rightmaelezo tafadhali...
Mimi ningemtoa mshipa[emoji35][emoji35][emoji35][emoji34]Uwiiiii nimeona namba yangu hapo. Shwain zake aliyeniunga ndani ya hilo grup
Nauza barafu
natuma mikoani
Kila mtu kala kona kivyake kama nawaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha walivamiwa na TCRA wakatokea madirishani.
Haha usije ukafanya watu waanze kupiga namba hizo zote wakisikilizia sauti ya NumbisaUwiiiii nimeona namba yangu hapo. Shwain zake aliyeniunga ndani ya hilo grup
Haha usije ukafanya watu waanze kupiga namba hizo zote wakisikilizia sauti ya Numbisa
Hahaha walivamiwa na TCRA wakatokea madirishani.
Uwiiiii nimeona namba yangu hapo. Shwain zake aliyeniunga ndani ya hilo grup
Ni ipi hapo niisave kwa matumizi binafsi
Hahahah itafute tu utaipata
Ngoja nianze moja moja, nikisikia sauti ya kiume nakata