Battle: At their peak, Albert Mangwair na Chid Benz nani alikuwa noma?

central midfielder

Senior Member
Joined
Apr 14, 2023
Posts
146
Reaction score
215
WAKUU NAFIKIRI KWEMA, NDUGU ZANGU WA HIP HOP NAWAOMBA HAPA.

At their peak, Albert Mangwair na Chid Benz nani alikuwa noma?

Forgive me

1693240280664.png

Albert Mangwair

1693240355316.png

Chid Benz
 
Ngwea alivuma kwa muda mrefu zaidi toka album yake ya kwanza hadi ya mwisho kabla hajawa teja la kutupwa

King Kong hakuvuma kwa muda mrefu sana kama Ngwea lakini katika kipindi hicho alikuwa wa moto sana kuliko Ngwea

Ngwea alikua mzuri zaidi kiuandishi swagger na wordplay na freestyle
King Kong alikua mzuri kwenye flow na kumiliki jukwaa

Overall
Nakwenda na Ngwea
 
Kumbe ngwea naye alikuja kuwa teja
 
Huu mjadala si tulishaufunga na tukakubaliana tumpe Ngwea ,
 
Back
Top Bottom