Battle: Dar Es Salaam VS Kampala

Battle: Dar Es Salaam VS Kampala

Bemendazole

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
2,649
Reaction score
6,680
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kampala kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Kampala.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Kampala wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
 
Ukiacha ile express way ya Entebe Kamapala,zaidi ya hapo Dar ni Bonge la mji
 
Kuifananisha dar na kampala ni ubakaji kabisa kwa kampala na ni dharau kubwa kwa Dar hii kampala ishindane na mwanza

wakenya ni waoga ndio maana wanataka dar ishindane na kampala sio wao wakashindane na iyo kampala basi kama wanadhani ni level yetu.
 
Kitu cha pekee Ugandan mmetuacha watz tena kwa mbaaaaali, ni Wanawake wenye matako makubwa. Otherwise Kampala ni saizi ya dodoma kwa sasa
 
Back
Top Bottom