Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hvi hujaona BRT za japan au china au Europe wakismama mbona unakua mshamba nduguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

hivi anajua kwanza kwa nini wana hizi za kushikia nyingi hivi na space kubwa katikati? yaani kuna vitu hata hawavijui lakini mtu anakubishia kulingana na anavyofikiria yeye.

 
mzungu akinyaa barabarani mtaiga ati ni ya kisasa...!!
what's so cool in people piled up like potatoes! !???........Let us be with our matatu culture in peace. ...you will enjoy music,the ride and possibly free WiFi. This BRT thing naichukia sana kwanza kama watu wamejazana. ....kuna zingine hu operate from Upper hill to town nilipanda once for the first and last time.I think Nairobi needs a good light rail system than anything on wheels
 
Una akili mbovu sanaaa... Unawaza kama mtoto wa kiberaa ety!! Kunyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…