Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kubali yaishe dar hakuna dealership ya Porsche Nairobi kunayo....sijui mbona unashinda ukitapatapa ukipost sportcars za mitumba na ziko kila shithole Hadi Burundi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unapiga kelel y kuwa n dealership akili unayo kwel ww?
 
nusu ya budget inaenda kulipa madeni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf bado deni linapanda kuelekea 7trillion ksh (debt to GDP ratio is almost 70%) alaf wako hapa kukenua meno πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

kenyatta kaua nchi kipindi chake alone deni limepanda by over 340%

 
Kwisha kazj
 
Nyie kwny uchawi mbona baba lao [emoji3][emoji3]
 
Kwamba huoni mambo mapya yanayofanyika kwenye uongozi huu, ww ni wa kuachwa tu wala sio wa kujibiwa cz nahisi una jealous za kichawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…