u think Kenya imelala,tusha pita Angola nyi mkiwa tu palepale
Hakuna matatu ama lorry huingia Nairobi cbd kama huko dar
Kawadanganye wajinga wenzako. Mliban matatus kuingia CBD Halafu baada ya hali mbaya mkalift banHakuna matatu ama lorry huingia Nairobi cbd kama huko dar
Pesa TZ ipo ya kutosha, hivyo ni vitu vya kawaida kijana, hata wengine hapa JF tunamiliki hizo unazoona ni dream cars kwako... πLast time l checked you had a smaller economy than [emoji1110] GHANA
Unatuletea unabi uchwara peleka kenya uko...its useless around here..[emoji1787][emoji1787]Mko na moja pekee,sisi tutakuwa na zaidi ya kumi tena pana kuliko hako ka kigamboni,11km elevated,kitu tz haitawahi pata,hahaha
Ww ndio unaimb pambiooo...hata hujui unacho ongea...Kwa aina ya wateule wa Rais wa kuongoza mashirika ya biashara hakuna faida itapatikana tofauti na kipindi cha Jk alikuwa anawateua watu wenye mlengo wa biashara na wazoefu wengine aliwatoa nje ila sio hao mnaowatoa kwenye nyuo kuja kuimba pambio tuu
Pesa TZ ipo ya kutosha, hivyo ni vitu vya kawaida kijana, hata wengine hapa JF tunamiliki hizo unazoona ni dream cars kwako... π
Ilidhani ni cbd ile ya kicc na times towers??????,pole sana ni commercial center huko nyuma ya towers before uingie main cbdKawadanganye wajinga wenzako. Mliban matatus kuingia CBD Halafu baada ya hali mbaya mkalift ban
Tunataka kuona hizo vichochoro za cbd si Barbara za brt,heheheView attachment 1476738
Tunatembea kwa nafasi town , Hamna vumbi [emoji1]
Cbd yao iko down kwel walai..Tunataka kuona hizo vichochoro za cbd si Barbara za brt,hehehe
Hahahaaa airport izo mambo kawaida tu, ucnimbie mambo za airport hapa.Na hii ya kuingia airport itaitwaje?
View attachment 1476638
Tunaongea about NMT(akina bicycle lanes na pedestrian paths separated) si cabro paths kaka,cabro at a kwangu ninazo,hahahaakirudi na hoja hio nitag plzπππ
ila ndinda unaroho mbaya sana wwππView attachment 1476738
Tunatembea kwa nafasi town , Hamna vumbi [emoji1]
Ebu tuone ya kwenu ya airport, hahahaHahahaaa airport izo mambo kawaida tu, ucnimbie mambo za airport hapa.
hii bmw series gan??
They use NMT and person cars or uberCBD Nairobi watu wanafika kwa Usafiri Gani?
kwan anapost nini ndinda hvi ww mbona akili zako ni fupi kama nyeti ya kukuπππTunaongea about NMT(akina bicycle lanes na pedestrian paths separated) si cabro paths kaka,cabro at a kwangu ninazo,hahaha