Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tazama ramanii utaona nchi nzuriii yenye mito na mabonde mengi ya nafakaa
Nasema kwa kinywa alafu kwa kufikiriii nchi hio mashuhuri huitwa tanzaniaaaa....

Ukmalza twende na hii

Taaaanzania tanzaniaaaaa nakupenda kwaa moyowotee nnchii yaaaangu tanzanzania jina lako ni tamu sanaa
Niiilalapo nakuota....

Nko mwenyewe narudi om najikuta tuu

Hope siku ya leo itakua nzuri kwenu
 
Wikileaks Tanzania
Richmond report epa tanesco na zinginezo.
Tujifunze kusoma kabla ya kukimbia kuja kupayuka mtandaoni.
 
Wamisri ndo walivyo tangia muda mrefu wanajiona wao ndo wana haki ya kutumia mto nile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…