Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hata mm naona mlianza kutumia toka 2005πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 1493499

Hio ni new deal. Pilot ilianza kitambo. 2011 wakaifanya official.
Cha muhimu, LDC Tanzania nyuma ya Kenya kila wakati.

Sasa hivi tunaelekea kuweka power lines zingine underground. Konza city hio ishafanyika.
Hio mtaanza 2050.
 
Hii ni Nairobi CBD
Sio kijijini
 
Umenipa picha mpya za kucharaza hawa wahuni [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ss huwa najiuliza hii middle Income ya wapi? Yn WB walitumia vigezo gn kuipa hadhi ya middle Income? Ndiyo maana huwa ckubaliani na vigezo eti per capita income ndo kigezo cha status ya nchi ckubaliani kabisa, wangekuwa wanaangalia maisha ya mtu mmoja mmoja kuanzia housing, social amenities, country's infrastructure systems and political issues like Govt administration n.k
 
ni haibu hawa jamaa ni wakuwadharau kabisa.......
huko mbeleni inabidi tuwateme kabisa hawana hadhi ya ku argue na Sisi....
Huu uzi umewazndua hata baadhi ya WaTz waliokuwa wanapenda kutumia kenya km reference yao, walikuwa wakiwasikia Wakenya wakijisifu kwamba wako vzr lkn social platforms zmewaumbua Wakenya, now huwez mckia mTz atumie kenya km reference labda awe mamluki[emoji3][emoji3]
 
Hio ni new deal. Pilot ilianza kitambo. 2011 wakaifanya official.
Cha muhimu, LDC Tanzania nyuma ya Kenya kila wakati.

Sasa hivi tunaelekea kuweka power lines zingine underground. Konza city hio ishafanyika.
Hio mtaanza 2050.
ahahhahaha mulianza na maneno maana muna ndoto za mchana nyinyi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyeri mji mdogo. Hii pia sio main stendi yake.
Huu pia nao ni mradi ya MCA. Ama mnavyowaita Tanzania, councillor. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mnalinganisha na stendi ya capital city ya Dodoma, mradi wa serikali kuu.

Mwache vichekesho.
Issue hapa ni kwamba mnasema bus terminals co kipaombele kwenu ss hyo ya nn[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…