Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha come again? Usilazimishe waKenya kufuatilia TZ. HAHAHA

 
Volume

Volume ipo stardard mkuu,wale Northerners wanasema Wana GDP kubwa vp tena? Wanatamba humu mchana kumbe usiku wanawasha vibatari na mishumaa,shubamit!
GDP yetu karibu mara mbili yenu. GDP ya NAIROBI inakaribia GDP yote ya MUUNGANO wenu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น. Mbona tuu hii iko in the public domain inajulikana?
 
Mtangonja sana ๐Ÿ˜น
Kwa ninachokiona Tz itakuwa inatoa mikopo na Wallah naapa naiona Kenya km mteja wetu wa kwanza kwenye mambo ya mikopo....Magufuli aliongea mara kadhaa kuwa sisi ni Matajiri mara paap ..wakatutangaza wenyewe.kwa nini ishindikane kuwa km Ulaya??????

 
mbona hu zoom ukatuonesha hzo slum ili tuone na tuamini ww unaakili kuliko mzungu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hahaha nani kaongelea slums? Mbona mnajishuku? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Nimeweka kuonyesha jinsi kijiji chenu hakijapangwa. Kumetapakaa tuu. Halafu eti NAIROBI tujifunze kutoka kwenu? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น nimecheka sana
 
WHAT BATTLE? NAUILIZA TENA... WHAT BATTLE? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

 
HAHAHAHA nimecheka sana. Mnalazimisha battle na nyinyi wenyewe HAMPO! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ