Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania ni kama watoto. Wanatekenywa kidogo washa cheka. Juzi waliambiwa eti wako na best sidewalks kwa twitter na Mkenya wakaja na twit yenyewe hapa mbio.

fact: Kenya has the best sidewalks in east and central Africa. Only, Kenyans are never contended. They always want more. That is they criticize even the best.

 
This place is going to be a concrete jungle soon. This will effectively join Upperhill to South C. (Upperhill Mbagathi road)
 
Kwn aliyesema sidewalks Kenya ni tatizo ni nani km co ww mwenyewe, ningelikuwa na muda wa kuchezea ningelikutafutia post yako nikuwekee humu.
 
Ili kuleta tija na tafsiri kamili ya maendeleo inatakiwa bidhaa hizo zinapomfikia mlaji zishuke bei na co iwe faida kwa mkulima tu itakuwa haina maana yoyote katika uchumi.
Kwasababu gharama za usafirishaji zimepungua, maana yake wafanyabiasha watasafirisha bidhaa nyingi zaidi, hivyo supply itakuwa kubwa zaidi kuliko ilivyokua awali, demand itashuka kwahiyo price itashuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…