Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dada mbona matangazo humu tena..nenda jukwaa la matangazoo
 
Mbukinya wote wamekimbia,kabakia mmoja tu komora...sasa nyie wakenya hamuwezi vita,mbona mwakata tamaa mapema sana na huko bado nyoka wa umeme hajaanza kutambaa,bwawa la nyerere bado halijaisha,brt phase 2 bado...komora we kaza unaweza kuwa rambo wa kenya au chuck norris
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…