Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
Kwani huyu haoni expansion ya Mwanza Airport iliyofanyika kwenye runway extension and cargo terminal? Ukiacha kuhitajika ujenzi wa PAX terminal, uwanja wa Mwanza ni appropriate for now! BTW the current Mwanza port facilities r underutilized a reason JPM is building more wagon ferries! au ndo yale mambo ya kuwa keyboard warrior? Alipokuwa waziri alifanya kitu gani cha maana huyu jamaa? Au kule Bumbuli kafanya nini cha maendeleo?hii wakuu wameisoma tayar
Hili ni shamba la viazi ama?
kenya bado sana tulieni[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
A very accurate joke๐๐๐๐๐๐๐๐Eneo la kupigia Ngโombe sindano[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Eneo la kupigia Ngโombe sindano[emoji23]
Na ni kwa nini hakushauri hilo kwenye kikao cha baraza la mawaziri?si alihudumu kama waziri kwenye awamu hii?shida ni kwamba hawa waliwaza Urais zaidi uko mbeleni...rizii alikuwa akiwapangia safu.Kwani huyu haoni expansion ya Mwanza Airport iliyofanyika kwenye runway extension and cargo terminal? Ukiacha kuhitajika ujenzi wa PAX terminal, uwanja wa Mwanza ni appropriate for now! BTW the current Mwanza port facilities r underutilized a reason JPM is building more wagon ferries! au ndo yale mambo ya kuwa keyboard warrior? Alipokuwa waziri alifanya kitu gani cha maana huyu jamaa? Au kule Bumbuli kafanya nini cha maendeleo?
cbd + westland + upper hill in one pic basi munasafari ndefu sana ya kujenga๐๐
Nairobi $54bcbd + westland + upper hill in one pic basi munasafari ndefu sana ya kujenga๐๐
leta official link na ukipata mm nafunga acc jamii forum ๐๐๐๐Nairobi $54b
Dar $23b
na millionares mulisema hvo hvo umesahau alaf mkacharazwa kifo cha nguruwe๐๐Nairobi $54b
Dar $23b
These cities are the hubs of Africaโs economic boomna millionares mulisema hvo hvo umesahau alaf mkacharazwa kifo cha nguruwe๐๐