Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tatizo anakimbilia vyeo sio size yake na kenya inatumia pesa za taxpayers kushawishi ili apite lakini wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uwaziri kwenyewe kapwaya kila siku anabadilishwa! naskia ni shemegi ya Uhuru kaka yake kamuoa Amina!

Gundu lake lilianzia huku πŸ‘‡ !

 
alimcheka magufuli huyu leo anatubu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


nikinunua gari na ukaniuliza nimewezaje kununua gari, nikakuambia nilikuwa namuomba Mungu.. then wew ukaniiga kwa kuanza kumuomba Mungu ili upate, si lazima Mungu ajibu hayo maombi ya kupata gari πŸ€ͺ[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu vyuma vingine vinakuja lake Victoria

Mzigo wote wa Uganda tunaondoka nao

3000 metrics tones wagon ferry
100 tons crane

Hapana itakuwa na uwezo wa kubeba wagons 47 at maximum... MV Umoja ina tonne 1,200 inabeba Wagon 19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…