The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Hata cc ile mgr ambayo inafanana na sgr yenu tumechukua muda mfupi kuikamilisha.Sisi tulichukua miaka mitatu kujenga phase one. Yenu ni 200 km phase one na mumeshindwa kuimaliza chini ya miaka mitatu.
Weka picha, waogopa nini?Majengo yanavutia lkn overall haifikii Mlimani City kama ukichukulia kila kitu, kuanzia location, parking, restaurants, n.k. Mlimani City ina kila kitu, ni City, ...
Malls also can indicate the continual hijacking of the economy... We are building more community markets.. as the result we are the most inclusive economy in sub saharan Africa. On the other hand You (Kenya) and S.A are building more shopping centers and Gated communities and you have Hustlers Thingy in Kenya and Xenophobia in SA. simply because of frustrations of not owning your own economy... Choose wisely.Malls are one of the economic indicators of a certain country. An increase in the number of malls signifies an increase in spending capabilities of individuals in a certain country.
Tony hata hesabu ndogo km hii pia inakusumbua? Nimekwambia tumeanza kujenga 2017 na ni ndefu mno ss huu ni mwaka 2020 hyo zaidi ya miaka 3 inatokea wapi?Hii yenu ni fupi. Kama Ethiopia wanaweza kujenga Sjiara ya 700 km kwa miaka mitatu mbona ninyi malazy mnachukua zaidi ya miaka mitatu kujenga 200 km?
Weka picha, waogopa nini?
Anakuja ichoboy01 atamtandika makofi mpk ataelewa wala usihofu, huo mjadala wa malls ulishaisha humu ndani kitambo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sina picha, kila mtu anaijua Mlimani City, ...
Ww miaka mitatu unahesab kwa namna gani...? Na project ilianza 2017? Tuliza kende kwanza nyie mnamilika upgrade mgr acha ushilondo[emoji706]Sisi tulichukua miaka mitatu kujenga phase one. Yenu ni 200 km phase one na mumeshindwa kuimaliza chini ya miaka mitatu.
Picha ziko kwenye net, kwani unadhani zangu nimetoa wapi.Sina picha, kila mtu anaijua Mlimani City, ...
ichoboy01[emoji350] msikie dada ako uku anakuhitaji popote ulipo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo bingwa wenu akifika mniite nione kati yangu na yeye who will raise the white flag first.
Picha ziko kwenye net, kwani unadhani zangu nimetoa wapi.
30k sqm [emoji23] [emoji23]upo serious 30 sqm unaita largest? mbona ni size ya chumba cha kulala?
Nimeiangalia na haideserve kuitwa mall hata kidogo.Sasa si uchukuwe huko kwa nini unaniuliza tena?
Jama wamesha unganinsha mpaka ngerengere....wapo km 140 ivi kifupi mpka november ivi watakuwa wamesha matokea moro...kibaki ichi kipande cha DSM sasa
Hii mall ni nzuri kuliko zingine apo kenyaBado ukitafuta picha za kuweka, acha nikuongeze na hizi hapa. Hii inaitwa The Hub Shopping Mall
View attachment 1595659View attachment 1595661View attachment 1595664
Malls are not meant for shopping. That kind of thinking is the only reason you don`t have decent malls.Malls zitakuja kuwa extinct soon..hata wanaojenga malls nawaonea huruma..kulikuwa na malls nying mareakani ila zimefungwa na nyingne kubomolewa..online shopping ina take over.
Saying that does not mean Tz hamna malls
Quality Centre Mall
Mkuki House Mall
Mlimani city Mall
City Mall
Aura Mall
Palm village mall
Morroco square mall
JM Mall
Skymark Mall and Hotel
Sea Cliff Village
Mbezi Beach Mall
Slipway Shopping Centre
Mayfair Mall