SGR wanajenga underpass kibao...Sasa huwa najiuliza wa Kenya elimu yao iliwasaidia Nini kutokujua maana ya underpass....🤣🤣🤣Hata ukilia huwezi badili ukweli huu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1597728
achana nao hao ni washamba sana mkuu,,hawaelewi na hawataki kujifunza mind set zao zinakariri mamboKwahyo wakenya...Niambieni kati ya Nyie na wingereza nani washamba..mnajua The O2 Arena..roof yake iko Kama Tent ya Next Door Arena.DsM
Hii ni The 02 ArenaView attachment 1597750View attachment 1597751View attachment 1597752
Naona umemuelewesha vizuri maana anabisha tunimeamini sasa kwann mchina amewaletea treni za miaka 100 iliopita kumbe hakukosea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1597757
Walikuwa hawajui ila wameshajua tayari [emoji3][emoji3][emoji3]SGR wanajenga underpass kibao...Sasa huwa najiuliza wa Kenya elimu yao iliwasaidia Nini kutokujua maana ya underpass....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwan unafkiri kwann mchina kawaletea treni za miak 100 iliopita, mchina sio mjinga anakujengea kitu kutokana na akili yako tu😂😂😂 na hajui kama arena hii inayojengwa ni steel structureNaona umemuelewesha vizuri maana anabisha tu
Na hii bado sio ya goverment ..ni mtu binafsi..ya Goverment wataanza soon na Capacity itakuwa 10kna hajui hii arena yetu ni steel structure very modern we subiri ikimakilike alaf kama utawaona tena [emoji116][emoji116][emoji116]
hao ni vichaa wanaushamba ulio pitiliza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Cheki the o2 arena uone kama sio indoor arenaView attachment 1597761
[emoji23][emoji23][emoji23]kwan unafkiri kwann mchina kawaletea treni za miak 100 iliopita, mchina sio mjinga anakujengea kitu kutokana na akili yako tu[emoji23][emoji23][emoji23] na hajui kama arena hii inayojengwa ni steel structure
mkenya ni bogus siku zote yaani hawajui maana ya indoor arena pia hawajui maana ya underpass nimecheka sana leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]SGR wanajenga underpass kibao...Sasa huwa najiuliza wa Kenya elimu yao iliwasaidia Nini kutokujua maana ya underpass....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kosa sio lao tusiwatenge kabisa watu wa aina hii yapaswa tuishi nao kwa upendo zaidi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Walikuwa hawajui ila wameshajua tayari [emoji3][emoji3][emoji3]
Nibora wakasema Subway wataeleweka japo kidogo japo iyo ya kwao bado sio subway...Subway inatengenezwa kwa mfumo wa tunnel kwa sababu lazima iwe ndefu...hao ni vichaa wanaushamba ulio pitiliza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Leo pamewaka humu ndani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mkenya ni bogus siku zote yaani hawajui maana ya indoor arena pia hawajui maana ya underpass nimecheka sana leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ni kweli kabisa......Nibora wakasema Subway wataeleweka japo kidogo japo iyo ya kwao bado sio subway...Subway inatengenezwa kwa mfumo wa tunnel kwa sababu lazima iwe ndefu...