Considering the location of the space (close to Kariakoo and CBD) hapo inahitajika kujengwa park yenye ubora maana watu wengi wanahitaji eneo la mapumziko. Pia wanaweza kuweka creative attractions kwenye hiyo park pamoja na fountains. Wajifunze kutoka kwa Millenium Park in Chicago!Mi ningekuwa kwenye madaraka ningeondoa hizi nyumba zoote hapa kati kuanzia Mnazi mmoja hospital´, Anatoglo mpaka ile supermarketya BAKWATA, Mnazi mmoja primary school, mahakama pia!
Watanzania hwajui tofauti kati ya bridge na underpass, what you have posted is a bridge.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dongo kundu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116] hio ndio quality road ya kenya na ishaanza kubokoma tayar The best 007 weka zile picha plz[emoji23][emoji23][emoji23]
Considering the location of the space (close to Kariakoo and CBD) hapo inahitajika kujengwa park yenye ubora maana watu wengi wanahitaji eneo la mapumziko. Pia wanaweza kuweka creative attractions kwenye hiyo park pamoja na fountains. Wajifunze kutoka kwa Millenium Park in Chicago!
View attachment 1599192View attachment 1599193View attachment 1599194
hii ndio hio barabara kapost huyo kenge inaitwa dongo kundu bypass ipo mombasa wamejenge juzi tu hapa ishaanza kusambaratika alaf wanakwambia quality😂😂 tena imejengwa kwa mkopo ukumbuke[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1599196View attachment 1599197View attachment 1599200
Nangoja alete tuone ni ya mwaka ganidongo kundu 😂😂😂👇👇 hio ndio quality road ya kenya na ishaanza kubokoma tayar The best 007 weka zile picha plz😂😂😂
exactly Dar ni level nyingine!View attachment 1599163View attachment 1599165View attachment 1599167View attachment 1599168View attachment 1599169View attachment 1599170View attachment 1599171
Nadhani ZANZIBAR ndio awe competitor wa NAIROBI, Dar nikuidharilisha kushindana na NAIROBI
Taja mwenyewe mwaka[emoji116][emoji116]Nangoja alete tuone ni ya mwaka gani
ukitaka quality roads niulize mm bro 👇👇
atakwambia 10 yrs ago 😂😂😂😂Taja mwenyewe mwaka[emoji116][emoji116]View attachment 1599208
Hutokaa ukaribie hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
4 star haiwezi shindana na 5 star marina ya Bakhresa!
Thanks for posting Redhill road.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1599196View attachment 1599197View attachment 1599200
angalia how quality roads look like😂👇👇
angalia hata hizo line markings na hiyo lami iliyowekwa huko bembeni naona walichanganya zege na lami bila ya clear dermacations, yaani shoddy work kila mahaliMbn unadunda mule mule huleti hyo nyengine [emoji3][emoji3][emoji3]