Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti mtu underpass anaiita bridge!!!πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒaisee school muhimu sana,mtu hajui bridge ni nini??
Hawana bridges so kila kitu ambacho hawakielewi wanakiita bridge, wasameheni jamani. Hata bridge kama salender tu hawana.
 
Yani watu wanaonea Kenya wivu kukuwa na barabara mingi za lami hadi inawabidii kutafuta data za 2014 na 2016 πŸ˜‚ πŸ˜‚ . Siku mtu ataleta data za 2019 zenye zinaonyesha kuwa tarmacked roads in Kenya ni below 21,000km in 2019 nitahama jf for good.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…