LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Acha ujinga, unaleta rink ya SA, we unadhani wakenya hawajui?? Muone
Kenya tuna Tatu City na Konza. Zigooglenew kigamboni project under constructionView attachment 479003
hutaki au hahaha naona huamini macho yako hii ndio dar ndugu usisahau hahaha futa matongotongo vzr uangalieAcha ujinga, unaleta rink ya SA, we unadhani wakenya hawajui?? Muone
sina muda huo mm nakuletea vitu ambavyo hamuna kwenye history yenu na hamutaipata darKenya tuna Tatu City na Konza. Zigoogle
tumejaribu au hamuamini kwenye macho yenu munadhani 90s leo na hio ndio modern one mpaka nikutoeni uharo ndio tuekeaneni heshimaOoh! Kumbe, nimeona, Funspot Dar es Salaam, mmejaribu, ila ndogo sana
Dar pelekea Mombasasina muda huo mm nakuletea vitu ambavyo hamuna kwenye history yenu na hamutaipata dar
hili jengo limefika mita hamsini kweli??NHC wakulima tower completedView attachment 479011
mm nimekwambia ukitaka kushindana na dar kusanya nairobi,mombasa na kisumu ndio uje tuzungumze vzr hapa na hapo sijamaliza on going project za kigamboni hahahahahDar pelekea Mombasa