joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Hahahaha, hiki ni kichekesho, wazee wa kupenda kujisifu hawa.hiii ndio wanaita ultra modern uhuru business park in kenya
i think ni according to kenyan standards[emoji23][emoji23]nimecheka sana walah aisee hawa watu wamelaaniwa
View attachment 1611157View attachment 1611158View attachment 1611159View attachment 1611160View attachment 1611161View attachment 1611162View attachment 1611163View attachment 1611164View attachment 1611165View attachment 1611166View attachment 1611167
Nangoja vitendo! Kumbuka Trump anaondoka madarakani.
Hi niya wa Congo
May be kuna watu wanataka vitengo mkuu
Hi niya wa Congo
Dah,JF raha Sana😁😁probably, ila naweza kusema mwenye umiliki (mwanaume) ni mtanzania.. ila ameoa mtu wa congo... familia ya kabila
Dah,JF raha Sana😁😁probably, ila naweza kusema mwenye umiliki (mwanaume) ni mtanzania.. ila ameoa mtu wa congo... familia ya kabila
Mkuu unataka kutuelekeza katika mambo ya kishirikina bila shaka [emoji23][emoji23]May be kuna watu wanataka vitengo mkuu
Wakenya kidizain km hawaamini wanachokiona hapa Jf mana waliongopewa mno wakadhani yale wanayoyaona mitandaoni ndiyo ukweli wenyewe kumbe on ground wanakuja kugundua tumewaacha mbali mno [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah,JF raha Sana[emoji16][emoji16]
Mkuu,mm ni mtumishi,nimewahi kuwa kwenye kitengo 'cha juu' yaani taabu tupu😆😆😆Mkuu unataka kutuelekeza katika mambo ya kishirikina bila shaka [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mtumishi wa kiroho au serikalini?Mkuu,mm ni mtumishi,nimewahi kuwa kwenye kitengo 'cha juu' yaani taabu tupu[emoji38][emoji38][emoji38]
Hii inawauma Sana,alafu kila tunachofanya kinawafunika mbali Sana,mfano SGR,brt,nk.wamekuja kugundua too late wako frustrated Sana.Wakenya kidizain km hawaamini wanachokiona hapa Jf mana waliongopewa mno wakadhani yale wanayoyaona mitandaoni ndiyo ukweli wenyewe kumbe on ground wanakuja kugundua tumewaacha mbali mno [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu, sio Trump atakayeshambulia, Egypt ndio itakayoshambulia, USA na nchi zingine za Europe zilishakubaliana na sababu za Egypt kushambulia na kutoa "go ahead" kutokana na kiburi cha Ethiopia.Nangoja vitendo! Kumbuka Trump anaondoka madarakani.
Biden hawezi kukubali!Mkuu, sio Trump atakayeshambulia, Egypt ndio itakayoshambulia, USA na nchi zingine za Europe zilishakubaliana na sababu za Egypt kushambulia na kutoa "go ahead" kutokana na kiburi cha Ethiopia.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ukiufuatilia huu mgogoro ulivyo, hata AU pia itakubaliana na Egypt, Ethiopia waneonyesha Kiburi cha hali ya juu sana, ni sawa na Joyce Banda alivyotoa kibali kwa makampuni ya kutafuta gas duniani kuja kutafuta mafuta Mbamba bay na maeneo mengine ya Tanzania bila kutushirikisha akijua wazi kwamba mazungumzo ya upatanishi kati ya Tanzania na Malawi bado hayajafika mwisho.Biden hawezi kukubali!