Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na sasa kama ulikuwa unajua inajengwa na pesa ya mchina mbona unalikuwa unawashwa uonyeshwe billboard? Hiyo billboard bado haipo hadi saa hii lakini barabara inajengwa πŸ˜‚
 
Vita ni vita Mura.
Wewe mjita hujui hayo.
Mkiwa vitani mnapambana askari akianza kwenda kinyume na amri tayari ameshakuwa adui ni kumtandika shaba tu.

Nishajua nia yako bana siwezi kuendelea kubishana na wewe tutaharibiana siku tu. Tafuta topic nyingine zangu uweke hapa.
 
Wewe jamaa utakua na matatizo sio bure. Ndio nilipata mtoto ndugu yangu asante sana.
Unamtunza huyo mtoto!?
Je, ulirudi kutoka huko uswizi na bado upo hapo mwanza!?

Halafu hujanijibu ulipata mtoto wa kike au wa kiume!?

Niliona mnaongelea masuala ya ushoga na wewe ukasema ni issue ya mtu binafsi.
Ndio maana ninakuuliza ulipata mtoto wa kike au wa kiume!?

Kama ulipata wa kike utakuwa salama.

Na kingine kwenda kwako ulaya kusikufanye mjuaji wa kujua kila kitu. Unatakiwa uheshimu watanzania na maamuzi yao.

Wewe unafurahiya kuunganishiwa umeme hapo kwenye mtaa wenu mwanza, hiyo siyo hapo tu nchi nzima umeme umeunganishwa.

So hatutaki mtuvurugie nchi yetu. Nyie endeleeni kubeba mabox huko ulaya sisi tunalima na kujenga nchi yetu.
 
Basi isiwe kama chakula basi hamuwezi kuanza siasa 2 yrs b4 alaf munategemea nchi iwe na maendeo hakuna nchi ya namna dunia hii
 
πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Na sasa kama ulikuwa unajua inajengwa na pesa ya mchina mbona unalikuwa unawashwa uonyeshwe billboard? Hiyo billboard bado haipo hadi saa hii lakini barabara inajengwa πŸ˜‚
Tuoneshe sehemu munajenga nairobi 88 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu tuoneshe tena mamaee munaona watu vipofu humu toka 2016 munajenga sasa tuineshe hio sehemu mumejenga toka 2016 hapaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Tuoneshe sehemu munajenga nairobi 88 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu tuoneshe tena mamaee munaona watu vipofu humu toka 2016 munajenga sasa tuineshe hio sehemu mumejenga toka 2016 hapaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Na bado hajafunga account 🀣🀣
 
Wewe jamaa utakua na matatizo sio bure. Ndio nilipata mtoto ndugu yangu asante sana.
Mpuuzi uyo achana nae,
anamatatizo
Kazi yake kukagua msg za watu na kutafuta vi picha afu ana post hapa.

Tatizo la kukosa cha kufanya badala aongelee maada anaingia kwenye personnel ya mtu...

Bahati mbaya katafuta kwangu akaishia kuja na umri bandia na ushauri wa kitoto.
Muache aendelee kutafuta watu kwenye socialmedia.
 

Nazani suala la mtoto ungemuuliza mama yako ambaye ndie nilizaa nae. Huna picha zangu uweke ili niweke za mama yako akiwa uchi?
 
Meseji umeipata kisawa sawa.
 
Nazani suala la mtoto ungemuuliza mama yako ambaye ndie nilizaa nae. Huna picha zangu uweke ili niweke za mama yako akiwa uchi?
🀣 🀣 🀣 ukome kuitukana Tanzania.
Unazalisha wanawake halafu unakimbilia uswisi. Unatakiwa ulee mtoto bobu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…