Unakuanga na porojo sana, are you aware that Angola's debt to GDP ratio is 120% in 2020 and Egypt's debt to GDP ratio is more than 86%? Are you aware that Ethiopia's debt to GDP ratio is 80?At 84% assuming Kenya's GDP is $100bln as they claim they have just eclipsed every country on African continent. And even Nigeria on the amount of debt! But on debt GDP ratio $84 bln is a fraction of Nigeria's GDP that is over $400bln!
Tony254 what's ur say on this? How far will take before u hit a 90% mark?
Umeongea point sanaSociety yetu ipo hivyo japo mimi sipendi siasa. Siasa imepewa kipa umbele to the extent that our media totally refuses to cover infrastructural development going on in our country.
Huo ndio ujinga wenu, huku 80% wanaunga mkono CCM, CHADEMA ni walevi wachache wasio na akili, hakuna kura iliyoibiwa wala huku hatupigwi risasi kama mnabyouliwa ninyi, hilo ni tatizo lenu usijaribu kulileta TanzaniaHapa Kenya ni kama Tanzania tu. Ukiprotest polisi wanakupiga risasi. Inabidi kila mtu anamind shughuli yake. Kimbele mbele mingi itafanya mtu aondoke duniani kabla wakati wake kufika. Hata nyinyi mlishindwa kuandamana wakati CCM iliiba kura.
Mna deni la zaidi ya dollars billion 75 kwenye GDP ya dollar billion 98 then hiyo ni 65% ya GDP?Kenya is not even among the top five African countries with the highest debt to GDP ratio.
1. Angola -120%
2.Egypt - 86%
3. Ethiopia- 80%
4. Algeria -76%
5. Ghana -76%
6.South Africa -66%
7. Kenya - 65%
Hizo nchi zote nimetaja hapo juu is more developed kuliko Tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CCM inafanya kwa niaba ya watu na raia wa kawaida, inawajali watanzania hasa wale masikini, Jubilee ni kwa ajili ya watu wachache na matajiri, usijaribu kulinganiasha Kenya na Tanzania ili kuhalalisha "Failures" zenu, mliamua kufiata ibepari sasa hivi mnavuna mlichokipanda, sisi na ninyi ni tofauti kabisa.Hii yote Wakenya wamekuwa wakicomplain kuihusu kutoka kitambo hakuna jambo mpya umeandika. Serikali itafanya itakavyo. Ni kama CCM inavyofanya itakavyo.
Mna deni la zaidi ya dollars billion 75 kwenye GDP ya dollar billion 98 then hiyo ni 65% ya GDP?
Tumeona video jinsi polisi wenu wanavyoua vijana huko Zanzibar.Huo ndio ujinga wenu, huku 80% wanaunga mkono CCM, CHADEMA ni walevi wachache wasio na akili, hakuna kura iliyoibiwa wala huku hatupigwi risasi kama mnabyouliwa ninyi, hilo ni tatizo lenu usijaribu kulileta Tanzania
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Why do you compare yourselves with failures?, so because people are dying from Covid - 19 Worldwide, you think is Ok for Kenyans to die too?, it is very bad to compare yourselves with those who are doing very bad on specific area.Unakuanga na porojo sana, are you aware that Angola's debt to GDP ratio is 120% in 2020 and Egypt's debt to GDP ratio is more than 86%? Are you aware that Ethiopia's debt to GDP ratio is 80?
Arusha [emoji1241][emoji1241]
View attachment 1637627
Mbeya [emoji1241][emoji1241]
View attachment 1637628
Kenya
View attachment 1637629
Those failures are all ahead of Tanzania in development[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Why do you compare yourselves with failures?, so because people are dying from Covid - 19 Worldwide, you think is Ok for Kenyans to die too?, it is very bad to compare yourselves with those who are doing very bad on specific area.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kama mlivyoona video watanzania walivyokua wanakufa kwa maelfu barabarani kutokana na Corona, hadi Uhuru Kenyatta akawaambia kwamba Tanzania hali ya Corona ni mbaya kuliko Kenya, leo hii dunia nzima imekubali kwamba Tanzania hakuna Corona isipokua ni ninyi hamtaki kukubali kwasababu ya wivu. Weka ushahidi toka " Independent Internatipnal bodies" zinazothibitisha hayo mauaji huko Zanzibar.Tumeona video jinsi polisi wenu wanavyoua vijana huko Zanzibar.
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Picha ya mwisho noma sana mkuu.
Ahead because they die of Covid- 19 while Tanzania we defeated Corona?. This type of reasoning is the reason why many Kenyans are dying of hunger during this century of advanced science and technology. While other countries are planning to advance in technology, you are struggling to get enough food.[emoji23][emoji23][emoji23]Those failures are all ahead of Tanzania in development[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ahead because they die of Covid- 19 while Tanzania we defeated Corona?. This type of reasoning is the reason why many Kenyans are dying of hunger during this century of advanced science and technology. While other countries are planning to advance in technology, you are struggling to get enough food.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hiyo 75 ni wewe ndio uliomba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unajua kuliko CBK?[emoji1787][emoji1787]
This is the lowest level of poverty on the globehttps://theconversation.com/millions-of-kenyans-go-hungry-every-day-why-and-what-can-be-done-131782[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1637641
Umesoma link ya hiyo tweet vizuri ama wewe kazi yako ni kushare tu?[emoji1787][emoji1787]This 80% ratio to GDP
Nashuku huko kati ya hawa 28m[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]This is the lowest level of poverty on the globehttps://theconversation.com/millions-of-kenyans-go-hungry-every-day-why-and-what-can-be-done-131782
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app