Kwanza rudia kale msemo sisi tunajenga BRtπ π π π π
Inajengwa na nani π π π π haya sikieni utumbo sasa hua napenda sana hako kamsemo by the way thanks π€£π€£π€£Brt inajengwa ila it has never been a priority in Nairobi. That's why we have a commuter rail up and running. Haina hizo sarakasi za brt jinsi ninavyoona hapo dar. Mambo no ustaarabu
Najua unapenda sana kuuliza kuhusu billboards. Furuhisha macho sasaInajengwa na nani π π π π haya sikieni utumbo sasa hua napenda sana hako kamsemo by the way thanks π€£π€£π€£
Hvi ndivo BRT inajengwa π π π munajenga BRT thika highway au munapaka rangi kusema BRTπ π π πNajua unapenda sana kuuliza kuhusu billboards. Furuhisha macho sasa View attachment 1638663
Kwan thika mliamza leo au miaka 3 nyuma πππππ π πNajua unapenda sana kuuliza kuhusu billboards. Furuhisha macho sasa View attachment 1638663
Bwagamoyo port mlianzisha lini?Kwan thika mliamza leo au miaka 3 nyuma πππππ π π
View attachment 1638670
Ushamba haina dawaHvi ndivo BRT inajengwa π π π munajenga BRT thika highway au munapaka rangi kusema BRTπ π π π
Its alot of money btw...I meant two million kshs , typing error .
Hizo picha zote ulizopost kuna huduma za BRT,