Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijui mnatembeaje kwa udhaifu huu wa Barbara hapo Nairobi mji mkuu wenu.
Stand Ina transformer ya umeme ikiripuka si itakuwa shida.
Stand watu wanabeba mizigo kama ile usafiri wetu wa zamani yaani hilo wanakoenda hakuna hivyo vitu.
Bongo mkija watu ni kama abiria wa ndege hatubebi bebi mizigo kuning'inia na juu .
 
M mwnywe nashangaa nchi ina raslimali kibao ila wananchi maskini
 
Taarab nzuri sana..
Ongeza volume
 
Hapo kw ku argue kuhusu wasanii sasa, wananiboo yani hadi najichukua mida ingine..
 
Acha uongo wewe, mambele watu wana alco blow mpka leo na bado wanendelea kunasa watu..
 
Tuanze na hili la chakula, Kenya wacha ujinga wako na ubishi wa kitoto, sikiliza huyu mlevi wenu, kisha ulete upuuzi wako, wa "logistic"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kenya hatujiwezi kw chakula, uliskia lini watu wakilalamika hakuna chakula
 
Rudisha hizo picha kwa archives please[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulitakiwa pia utuletee idadi tunayo produce na ku import wala sio hizi porojo..
Maize km sikosei less than 10% ndio tuna import mchele pia vile vile..
Km unapinga sema nikupige na ushahidi, ndio manake hutowai skia wakenya wanalalamika hakuna chakula bali ni wale wanaokumbwa na janga la(drought) hko northern kenya na baadhi ya sehemu kame..

Lkn eti kuhusu vyakula kwetu vipo we ukitaka kasirika
 
Wapi wale watanzania walikuwa wanabweka juu 100 bob? Haya sasa ndio hii fare ya Commuter train from CBD to JKIA ni 500 bob. Tafuteni microphone mpige nayo nduru[emoji23][emoji23]

 
Umesahau shisha na kuchora tattoos kwenye ngozi nyeusi [emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu katika mademu kumi Nairobi, 8 ni malele, huu ni utafiti nilioufanya mimi na huu utafiti ni ukweli mtupu.
Utafiti nilioufanya dar km komora mashoga digitali wamekuja kw kasi sana[emoji1787][emoji1787]
Mpka wanajitangaza kw kujiita majina ya ajabu ajabu mitandaoni jamani[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…