Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siezikasirikia ndoto[emoji23][emoji23][emoji23], ukinionyesha picha za hizo helicopters 13 najinyonga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekasirika kuskia tanzania ina helicopter za airbus 13[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Is that the answer?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe unafaa uangaliwe akili[emoji23][emoji23], maybe naongea na mwenye akili yake imeoza[emoji1787][emoji1787][emoji23]
🀣🀣🀣🀣🀣 so walioandika mgombea mwenza hawana akili kwann hawakuandika makamu wa rais???
 
Acha kukimbia[emoji23][emoji23][emoji1787], unakimbia na bado hatujamalizana na mambo ya helicopters?[emoji1787][emoji1787][emoji23].
Ingia google utafute ila ukweli utabaki pale pale ziko 13 🀣🀣🀣🀣 utake usitake na hamutakua na hzo airbus mpaka yesu ashuke
 
Google inasema Tanzania iko na helicopters nne[emoji23][emoji23][emoji23],
Leta huo ushahidi kua google inasema tunazo nne hapo ndipo nilikua nakusubiria 🀣🀣🀣🀣🀝🀝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…