Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba tanzania inamiliki airbus helicopter nne tu hio sehemu sijaiona mr procurement[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mko na 3 airbus helicopters and 1 Bell[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Total inakuja nne[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Sorry, mfumo wetu Tanzania ni slums, biggest slums, Kibera, [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mnapiga domo hapa tu as if hamna slums. Tukilinganisha idadi ya urban population ya KE na TZ utayaona mambo wazi. kwamba idadi zaidi hapo kwenu ya urban population inaishi kwa slums.
Takwimu na utafiti wa kimataifa zinasema LDC wana slums zaidi ya Kenya 🀣🀣🀣🀣
 
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]View attachment 1646217
Atleast two have been entered service in 2015 so kwa akili yako air tanzania imeagiza ndege 7 mpya inamaana zitaingiza zote mwaka mmoja au????🀣🀣🀣🀣🀣🀣 helicopter za airbus za tanzania zinakutesa kichwa
 
Mko na 3 airbus helicopters and 1 Bell[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Total inakuja nne[emoji23][emoji23][emoji1787]
Ww ndio ulienunu hzo helicopter 🀣🀣 airbus helicopters zimeleta shida yote hii
 
Kusoma pia hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wewe jamaa what are you best in really?[emoji23][emoji23][emoji23]. Wapi penye imeandikwa mliagiza ndege saba?[emoji23][emoji23]
 
Mko na helicopters nne[emoji23][emoji23][emoji23], kubali tu yaishe [emoji1787][emoji1787]
Kwakua ww ndio ulienunua hzo helicopter kama ww ndio uliagiza hapo sawa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

mpaka dunia inasimama hzi mutaskia kwenye radio πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Bado ni tu hile helicopter moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡jubilee ndivo ilikudanganya 200meters imekua 500metersView attachment 1646214
To be precise, according to reliable source (KEnHA) the bridge will be 450m,,longer than likoni bridge,,but kwa dongo kundu bypass there will be two Bridges measuring 600 km and 1.4km
 
WTF

This is simply a Connected empty tanks making a Burge.
Corrosion and rust will soon damage those metals
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 alaf hata aibu hawaoni
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 hii ndio nilikua nasubiri mupost wallah Mungu atupe umri sisi tutaona vituko vya mwaka 2020
😝😝😝😝Najua sahii unaona wivu Sana,, imagine is one and only in EA,, floating bridge hehehe,,I like itπŸ”₯πŸ”₯πŸ˜„
 
To be precise, according to reliable source (KEnHA) the bridge will be 450m,,longer than likoni bridge,,but kwa dongo kundu bypass there will be two Bridges measuring 600 km and 1.4km
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kenha sio mm its 200meters
 
Mpaka dunia itasmama hzi mutaziskia kwa jina tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]

Kwani lazima tukuwe na Airbus helicopters?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]. Imeandikwa wapi lazima Kenya ikuwe na ndege ya aina hiyo?[emoji23][emoji23][emoji23]. Alafu to make the matters worse it's only a transportation helicopter[emoji23][emoji23]
 
😝😝😝😝Najua sahii unaskia wivu Sana,, imagine is one and only in EA,, floating bridge hehehe,,I like itπŸ”₯πŸ”₯πŸ˜„
Nimecheka hii ndio likoni bridge mulikua munaisubiri miaka 50 🀣🀣🀣🀣 ila jubilee Mungu anawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…