Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We have so many "engineers" in the house πŸ˜‚ πŸ˜‚. The other day, one of these "engineers" was saying that pillars za Nairobi expressway are so tall and thin and that hiyo expressway itaanguka. Now this one again! Phew!!
 
Na haiwezi kua 450m mpaka yesu ashuke tayar nimeshapata majibu kua ni 120m so tulia urambe dawa🀣🀣🀣🀣🀣
So kati ya Kenha na Afribiz who knows better about this project?
 
Capitalist kila mtu anafight kivyake wapi,,
Serikali haina hela na wachina hawataki kuwekeza kwenye bus stand!!!
Kama ni capitalist mbona Airport hamjawaambia kila company ijenge airport yake??
 
Capitalist kila mtu anafight kivyake wapi,,
Serikali haina hela na wachina hawataki kuwekeza kwenye bus stand!!!
Kama ni capitalist mbona Airport hamjawaambia kila company ijenge airport yake??
You reason like a toddler[emoji23][emoji23][emoji23], wewe ushaiona nchi gani raia wake wakijenga airports?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…