joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
TPDF hawajawahi kushindwa vita yoyote ile, hao magaidi walifanya makosa sana kuishambulia Tanzania, huo ndio mwisho wao kama ilivyokua kwa M23 huko DRCThe last time I checked jeshi la Tanzania walitoroka mbio venye magaidi walifika mtwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Almost 80% ya magaidi tumeshawakamata au kuwauwa, sasa hivi tunafagia 20% waliobakia[emoji23][emoji23]The last time I checked jeshi la Tanzania walitoroka mbio venye magaidi walifika mtwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Ebu screenshot penye nilisema kitu kama hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]. Alafu mwenye alikuambia kuwa Kenya stations zinajengwa na individuals pia was correct. Take this company for example.Ww umetudanganya kwamba private ndo wanajenga terminal zao na lounge kwasababu nyie ni capitalist;;; kumbe reason hamna helaaaa
The last time I checked jeshi la Tanzania walitoroka mbio venye magaidi walifika mtwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Tanzania jeshi letu ni miongoni mwa majeshi bora zaidi AfricaWatu 516 wanaodaiwa kujihusisha na ugaidi na kushikiliwa Tanzania watarejeshwa Msumbiji
Watu 516 wanaodaiwa kujihusisha na ugaidi na kushikiliwa Tanzania watarejeshwa Msumbiji - Others - operanewsappopr.news
Ninyi Alshabaab wanawatia vidole tangu 2011, hopeless army. Ndani ya wiki mbili tumemaliza mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hile jeshi maskini hata haiezitetemesha Burundi[emoji23][emoji23]
Do you know the difference between approving and commissioning?read here
View attachment 1646570
TPDF hawajawahi kushindwa vita yoyote ile, hao magaidi walifanya makosa sana kuishambulia Tanzania, huo ndio mwisho wao kama ilivyokua kwa M23 huko DRC
Do you really know how to read?[emoji23][emoji23][emoji23]. Mbona unakuanga mjinga hivi?[emoji1787][emoji1787]. Your army is one of the weakest in the continent[emoji23][emoji23]Ninyi Alshabaab wanawatia vidole tangu 2011, hopeless army. Ndani ya wiki mbili tumemaliza mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawajamaa isingekua Tanzania, wangekua tishio kama ilivyo Boko Haram, Alshabaab, ISIS na Sahel, walianza kuwa gumzo duniani kwa jinsi walivyokua wakiteka maeneo huko Msumbiji, jeshi la Msumbiji lilikua limeshapoteza "ground" kwa zaidi ya miaka mitatu sasa, tumelimaliza hilo tatizo ndani ya wiki mbili pekee.Hile jeshi maskini hata haiezitetemesha Burundi[emoji23][emoji23]
I like how the Kenyan guy was mature. Hakubishana naye.Pressure itauwa huyu jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji23], sasa ameenda kubishana na watu huko twitter.
Hawa watu ni wapumbavu sana[emoji23][emoji23]Do you know the difference between approving and commissioning?
Wewe ni kondoo[emoji23][emoji23][emoji23]. Unapost link hapa na hata husomii[emoji1787][emoji1787]. Your link is saying something different from what you are preaching[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]Hawajamaa isingekua Tanzania, wangekua tishio kama ilivyo Boko Haram, Alshabaab, ISIS na Sahel, walianza kuwa gumzo duniani kwa jinsi walivyokua wakiteka maeneo huko Msumbiji, jeshi la Msumbiji lilikua limeshapoteza "ground" kwa zaidi ya miaka mitatu sasa, tumelimaliza hilo tatizo ndani ya wiki mbili pekee.
Hahaha, kwa miaka mitatu sasa, jeshi la Mozambique halijawahi kuwaua terrorists hata kumi, baada ya JWTZ kuanza madhambulizi ndio Jeshi la Msumbiji linaanza kupata ushindi na kukomboa maeneo yote yaliyokua chini ya magaidi.Do you really know how to read?[emoji23][emoji23][emoji23]. Mbona unakuanga mjinga hivi?[emoji1787][emoji1787]. Your army is one of the weakest in the continent[emoji23][emoji23]View attachment 1646606
Si mlisema ndege za Tanzania ni za kisiri, ni aje tena hizi mbili zimepatikana?[emoji23][emoji23][emoji1787]. Haya onyesha hizo zingine mbili za mwisho hili zikuwe nne alafu tufunge chapter[emoji23][emoji23][emoji1787]
Jinga wewe, ulitaka tuseme ni Jeshi la Tanzania wakati hatujatangaza officially kwamba tupo Msumbiji?. internationally hatujulikani kama jeshi letu lipo huko, vipi unataka tutangaze kwamba ni JWTZ?, tupo Msumbiji kusaidia jeshi la Msumbiji, kwahiyo lazima msemaji ni jeshi la Msumbiji.Wewe ni kondoo[emoji23][emoji23][emoji23]. Unapost link hapa na hata husomii[emoji1787][emoji1787]. Your link is saying something different from what you are preaching[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1646609
Endelea kuandika insha[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, kwa miaka mitatu sasa, jeshi la Mozambique halijawahi kuwaua terrorists hata kumi, baada ya JWTZ kuanza madhambulizi ndio Jeshi la Msumbiji linaanza kupata ushindi na kukomboa maeneo yote yaliyokua chini ya magaidi.
Kabla ya JWTZ kuingia Msumbiji, magaidi walikua kila siku wanateka miji na visiwa huko Msumbiji kwa zaidi ya miaka mitatu sasa, lakini baada ya magaidi kuishambulia Tanzania, ghafla magaidi wameanza kushindwa na kupoteza maeneo yote walitoyateka kwa miaka mitatu sasa, bado unadhani ni jeshi la Msumbiji?[emoji23][emoji23][emoji23]