Hakuna siri hapo, your helicopters are not easily available because they are not there[emoji23][emoji23][emoji23]. How can you find what is not there[emoji23][emoji23][emoji23].if they were easily available hizo nyingine si tungekuwa tumezipata haraka.. hapo vip siri au sio siri?
Nigeria imeomba Tanzania kuisaidia katika kupambana na Boko Haram, ndio ujue kwamba jeshi letu sio mchezo. Kama Magufuli atakubali kupeleka jeshi, huo ndio mwisho wa Boko HaramEndelea kuandika insha[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1646617
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Jinga wewe, ulitaka tuseme ni Jeshi la Tanzania wakati hatujatangaza officially kwamba tupo Msumbiji?. internationally hatujulikani kama jeshi letu lipo huko, vipi unataka tutangaze kwamba ni JWTZ?, tupo Msumbiji kusaidia jeshi la Msumbiji, kwahiyo lazima msemaji ni jeshi la Msumbiji.
Hakuna mwenye alikuomba helicopter ya polisi[emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nataka kuona helicopters za Tanzania airforce department[emoji1787][emoji23][emoji1787]. Venye unaendelea hivi utatuonyesha hadi ndege za ATCL and Precision Air[emoji1787][emoji1787][emoji23]it’s very rare naziona hizi helicopters na ndege za jeshi.. but majamaa wanasema hatuna helicopters wala ndege[emoji23]
View attachment 1646618View attachment 1646620
Ebu tuonyeshe penye Nigeria iliwaomba[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]Nigeria imeomba Tanzania kuisaidia katika kupambana na Boko Haram, ndio ujue kwamba jeshi letu sio mchezo. Kama Magufuli atakubali kupeleka jeshi, huo ndio mwisho wa Boko Haram
Kwanza lazima ukubali kwamba Jeshi letu ndio jeshi bora katika ukanda huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebu tuonyeshe penye Nigeria iliwaomba[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]
Tukiamua kuja Somalia, Alshabaab itabaki kuwa ni historiaEbu tuonyeshe penye Nigeria iliwaomba[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]
Maybe in another planet[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]. Here is the list of the strongest armies in East AfricaKwanza lazima ukubali kwamba Jeshi letu ndio jeshi bora katika ukanda huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si mlialikwa kule Somalia mkakunja mikia[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]Tukiamua kuja Somalia, Alshabaab itabaki kuwa ni historia
Hakuna mwenye alikuomba helicopter ya polisi[emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nataka kuona helicopters za Tanzania airforce department[emoji1787][emoji23][emoji1787]. Venye unaendelea hivi utatuonyesha hadi ndege za ATCL and Precision Air[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Hatukua na sababu yoyote ya kuja Somalia kwasababu Alshabaab hawajatuchokoza.Si mlialikwa kule Somalia mkakunja mikia[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
unajua maana ya JWTZ?Hakuna mwenye alikuomba helicopter ya polisi[emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nataka kuona helicopters za Tanzania airforce department[emoji1787][emoji23][emoji1787]. Venye unaendelea hivi utatuonyesha hadi ndege za ATCL and Precision Air[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Leo ndyo nmejua ichoboy ni mpumbavu kweli,yani anabishana na kitu hana uhakika nacho,na ukimuonyesha evidence bado anapinga,,huu Ni umatako tuIchoboy soma number 14[emoji23][emoji23][emoji1787]. This year utakojoa kwa suruali wewe[emoji1787][emoji1787][emoji23]View attachment 1646546
Wakati Kabudi anayasema yale maneno kwa wale wabunge wa Ulaya nilijuwa teyari kazi huko Msumbiji imeisha, hawa jamaa usihangaike nao, wao wanafikiri kila kitu ni kuongea ongea, hawajui sisi ni kupiga "kimasiala" tuu.Nigeria imeomba Tanzania kuisaidia katika kupambana na Boko Haram, ndio ujue kwamba jeshi letu sio mchezo. Kama Magufuli atakubali kupeleka jeshi, huo ndio mwisho wa Boko Haram
Orodha ya ubora halisi haitokani na idadi ya vifaa vya jeshi, vifaa ambavyo hata hatuna uhakika (tangu lini majeshi yakasema siri zake?). Ubora wa jeshi ni ushindi wa operations, and we do just that.Maybe in another planet[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]. Here is the list of the strongest armies in East Africa
1. Ethiopia
2. Kenya
3. Uganda
4. Tanzania
Africa’s 2020 military power ranking (GFP)
Global Fire Power (GFP) has unveiled its 2020 Global Power index which ranks countries in the world based on their military forces. This year’s ranking assessed 138 nations, including 24 from Africa. GFP based its rating on five criteria namely, the number of serving military members, the naval...www.ecofinagency.com
African Military Strength (2025)
Ranking the military powers of Africa by country, from strongest to weakest.www.globalfirepower.com
Mara nyingi hizi tafiti za nguvu za kijeshi za nchi mbalimbali huwa ni za kubumba (kuunga unga) tu. Hakuna nchi ambayo inadisclose military power yake (vifaa vya kivita, technology na strategies) kijnga jinga hivyo kwa public consumption. Nchi nyingine kiwemo Tanzania taarifa zake za kijeshi huwa siyo rahisi sana kuzipata kuanzia kununua silaha na aina ya vifaa mbalimbali vya kijeshi. Kwa baadhi ya nchi kama Egypt, South Africa, Morocco na hata kidogo Nigeria naweza kuafiki kwa sababu ya economic power yake lakini hizi nyingine kajamba nani siafiki moja kwa moja labda kuwe na ushahidi wa moja kwa moja unaoeleweka.Orodha ya ubora halisi haitokani na idadi ya vifaa vya jeshi, vifaa ambavyo hata hatuna uhakika (tangu lini majeshi yakasena siri zake). Ubora wa jeshi ni ushindi wa operations, and we do just that.
Sasa kama Tanzania army is the weakest je na Kenyan army utasemaje😂😂 the irony in this is soo crazy... nasiku kenya mkineng'eneka tu mkaingia kumi nanane nakwambia vita vya idiamini itakua cha mtoto..Do you really know how to read?[emoji23][emoji23][emoji23]. Mbona unakuanga mjinga hivi?[emoji1787][emoji1787]. Your army is one of the weakest in the continent[emoji23][emoji23]View attachment 1646606
I like how the Kenyan guy was mature. Hakubishana naye.
Mature Tf?.. hana lakujibu eti mature... if what wrong with u peopleI like how the Kenyan guy was mature. Hakubishana naye.
So many "engineers"? Where are those u call so many? 2000?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We have so many "engineers" in the house [emoji23] [emoji23]. The other day, one of these "engineers" was saying that pillars za Nairobi expressway are so tall and thin and that hiyo expressway itaanguka. Now this one again! Phew!!