Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii mwaka jana ilisafirisha misaada ya chakula nk Malawi, Msumbiji na Zimbabwe.

Wewe endelea kuweweseka humu maana ndio kitu pekee unaweza.
 
Daraja hili ni la ghali kuliko bajeti ya wizara ya utalii ya Tanzania. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mamoko hawata isha kunya walahii[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha kuwa km jinga wwe kiazi cha kuchoma....
 
Tuko na helicopters 79 wakati Tanzania helicopters ni 4[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Endelea kujichoresha tu.. tena unawza sema tunazo mbili tu unazionaga humu kwa jfπŸ˜‚πŸ˜‚.. this man I cant but it is what it is. Wajinga ndo waliwao
 
Wakunya embu tuambieni strategy mtakayoitumia wakati Su-30 za Uganda na Mig-29 za Tanzania zikitia timu hapo failed state.

Nishaandaa popcorn na glasi ya wine kusoma ujinga mtakaouandika [emoji4][emoji4][emoji4]
Hakuna Mig-29 Tanzania[emoji23][emoji23][emoji1787], Tanzania only have J-7 jets. Mbona mnapenda kujiweka kwenye level hamuezani nazo?[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
 

Attachments

  • AED02FB4-8140-4EE7-8792-D811ADEA7A54.jpeg
    7.9 KB · Views: 29
Hakuna Mig-29 Tanzania[emoji23][emoji23][emoji1787], Tanzania only have J-7 jets. Mbona mnapenda kujiweka kwenye level hamuezani nazo?[emoji1787][emoji1787][emoji23]
(Typing error) Edit iwe upgraded Mig- 21 kisha jadili nilichoandika.
 
(Typing error) Edit iwe upgraded Mig- 21 kisha jadili nikichoandika.
Hakuna cha typing error hapo[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787], ulitaka tena kutudanganya hapa kuwa mko na Mig-29. Alafu Mig-21 za Tanzania hazifanyi kazi.[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]. They were replaced by J-7 jets.
 
One and only in EA,, floating bridge,je Wajua??wivuuuuuu😝😝🀣🀣🀣
Wivu gani mjinga ww unashabikia nn hapa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Daraja hili ni la ghali kuliko bajeti ya wizara ya utalii ya Tanzania. 🀣 🀣 🀣
Hili πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ basi mchina Mungu anamuonaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…