Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani unawaekea wavivu link, unafikiria watasoma kweli na wakati hapa tayari wameshaamua ni kujitoa ufahamu mwanzo mwisho
Ww lini umesoma? Hata ukipewa link utakuta unachozungumza ni tofauti na kwenye link, kumaanisha kwamba hujaisoma.
 
Buza ndo kwetu Baba vp unataka tukukune au... naona kipele kinakuwasha.. tutakikuna ki engineer zaidi
Mbna umekasirika na wakati we ndio bonge la engineer hko..
Usiwaangushe wwnzio kw mambo rahisi km haya, utachekwa
 
Kwahyo hata Selander bridge ni floating cz it has pillars.
Tena hamtaki mambo za pillars?[emoji23][emoji23][emoji23] Si mlikuwa mnasema likoni sio floating juu iko na pillars[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Is this a floating Bridge or not?[emoji23][emoji23]View attachment 1647491
Atakama hilo ni floating bridge kwani ndo similar na lakwenu? Machozi ehe embu stop wasting my time bruh.. if u think there's any way kwamba unachotumaga humu ndani u doing something meaningful and bright then let me burst the bubble of yours and I really hate tell you this it's usually pile BULLSHIT ...you are dumb as u type humu ndani.. no offense tho. Respectfully
 
[emoji23] [emoji23] kawaida ya bongolala
Mi nimeshawasoma tayari, waliimba wimbo wa mwakani kumbe hawajui km hyo mwakani kenya ndio inakuja vibaya..
Sasa sai kenya kuna contruction kila mahali wameshtuka..

Sasa ndio wameamua kubadili mfumo, yani kiufupi wamekuja kivinge..
Sai ni mwendo wa kujitoa ufahamu tu manake bila hvyo mgao wako hupati
 
Look how foolish you are[emoji23][emoji23][emoji23] Unasema I'm wasting your time kwani nimekufunga na kamba?[emoji23][emoji23][emoji23] Ama kuna penye imeandikwa ati lazima unijibu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikuizi wameamua kuwa wajinga to avoid real analysis of what is happening.
 
Mbna umekasirika na wakati we ndio bonge la engineer hko..
Usiwaangushe wwnzio kw mambo rahisi km haya, utachekwa
Wakukasirkia niwe mimi.?.. 😂😂 komora ehe jibu swali unataka kukunwa na engineer?
 
Sikuizi wameamua kuwa wajinga to avoid real analysis of what is happening.
Unanipotezea mda wangu coz unaniuliza maswali yakijinga ungekua unaulizaga maswali yaa maana obviously nisenge kuwa offended on me using mda wangu on u simple... lakini since ni Machozigesi aka kunyan I just have tu deal with the BS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…