Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
halafu mna umeme wa uhakika kuhakikisha hilo gate linafunguka na kufunga wakati wote? Je wavuka kwa miguu wataheshimu na kuwa na subira pale meli itakapotakiwa kupishwa kupita?Unajua hyo place ya kufunguka ndio panaguzo sio
Unadhani tuko na 1500MW kama nyinyi?[emoji23][emoji23][emoji23] Ama unafikiria our connection rate ni 32%?[emoji23][emoji23][emoji23]halafu mna umeme wa uhakika kuhakikisha hilo gate linafunguka na kufunga wakati wote?
Hii expressway ikikamilika itafnya watu humu jf wajinyonge[emoji28][emoji23]Kama bado unangoja construction board ya expressway please raise your hands[emoji23][emoji23][emoji1787]
View attachment 1647434View attachment 1647436View attachment 1647437
View attachment 1647438
Sasa we yakuwashiani, si ungoje kitu kianze kufanya kazi rasmi ndio uje na hayo maswali sasahalafu mna umeme wa uhakika kuhakikisha hilo gate linafunguka na kufunga wakati wote? Je wavuka kwa miguu wataheshimu na kuwa na subira pale meli itakapotakiwa kupishwa kupita?
Sasa we yakuwashiani, si ungoje kitu kianze kufanya kazi rasmi ndio uje na hayo maswali sasahalafu mna umeme wa uhakika kuhakikisha hilo gate linafunguka na kufunga wakati wote? Je wavuka kwa miguu wataheshimu na kuwa na subira pale meli itakapotakiwa kupishwa kupita?
Mbona kama lina matege [emoji23][emoji23][emoji23]eti hii floating bridge [emoji29].. hawa ndo wanafanya wazungu waite nchi zetu sh*thole countries [emoji29]
View attachment 1647498
Uhuru kashali-commission hivyoo!Sasa we yakuwashiani, si ungoje kitu kianze kufanya kazi rasmi ndio uje na hayo maswali sasa
Kwhyo ni nani huyo kwanza atakua na huo ujasiri wa kutulia pale gati likifunguka,halafu mna umeme wa uhakika kuhakikisha hilo gate linafunguka na kufunga wakati wote? Je wavuka kwa miguu wataheshimu na kuwa na subira pale meli itakapotakiwa kupishwa kupita?
Itakuwa low budget floating bridge [emoji23][emoji23][emoji23]Mchina hataiona ufalme wa mbinguni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1647521View attachment 1647522View attachment 1647523
Ndio ujue kuna uhakika wa umemeUhuru kashali-commission hivyoo!
Bro ...stop arguing with them ..........they will never have such ......the only floating bridge in E.africa[emoji28]Unadhani tuko na 1500MW kama nyinyi?[emoji23][emoji23][emoji23] Ama unafikiria our connection rate ni 32%?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnatumia lugha ya malkia vibayaItakuwa low budget floating bridge [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawai kutana na BMW X6 kw msafara likiwaacha alafu uangalie miguu yake ya nyuma inavyojieka matege..Mbona kama lina matege [emoji23][emoji23][emoji23]
Ungetaka nikufundishe atleast ningekuelewa ila kujifanya unajua kutakuponza maana hutafundishwa..Kw akili zako floating bridge ni nn, angalau nataka kujua uwezo wako wa kung'amua mambo wala sio kupiga porojo tu
Na ndio mana tuko na matajir wengi ukilinganyish na nchi zote za EA kuanzia nyie slum dwellers(kunya)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Ati pesa? Tanzania na pesa kwa sentensi moja? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Apana hawatakuwa na subira,watajirusha ziwani na kuogeleo hadi upande mwingine🤣🤣halafu mna umeme wa uhakika kuhakikisha hilo gate linafunguka na kufunga wakati wote? Je wavuka kwa miguu wataheshimu na kuwa na subira pale meli itakapotakiwa kupishwa kupita?
Mbona waogopa sasa, mtihani rahisi tu kwako..Ungetaka nikufundishe atleast ningekuelewa ila kujifanya unajua kutakuponza maana hutafundishwa..
Ivi ww huwz pima uwezo wako mwnywe utaweza kupima wangu?
Toa ujinga hapa.Ushawai kutana na BMW X6 kw msafara likiwaacha alafu uangalie miguu yake ya nyuma inavyojieka matege..
Huwezi jua hilo, Engineers pekeake ndio wana uwezo wa ku question vitu km hvo wala sio wazee chato
Usitake kuingilia mambo chini ya uwezo wakoToa ujinga hapa.
Hapa zingatia pia floating bridges are way far inferior to fixed support bridges bali floating hujengwa under emergence or special condition..Bro ...stop arguing with them ..........they will never have such ......the only floating bridge in E.africa[emoji28]