Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafadhali tuwekee data za UNDP na UNhabitat, ambao ni UN bodies zenye jukumu la kufanya utafiti na kutanga aina ya makazi katika nchi zote duniani.

Weka ushahidi toka UN bodies, sio kuokoteza taarifa za vichochoroni, Kenya, Nigeria, South Africa ndio vinara wa Slums, Tanzania haijatajwa popote pale na UN [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha, eti official report from WB, unaumwa wewe, weka link ya WB tuone, hizi ni data za Vichochoroni, wenye jukumu la kutangaza hali ya makazi ni UNDP na UN habitat, WB inawahusu nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo Leo world Bank imekuwa taarifa za vichochoroni 🤣🤣

Nyie mmeimeza propaganda ya sisiemu mpaka akili ikawapotea.🤣🤣🤣🤣
Data ya world Bank iko reliable zaidi na inasema Danganyika wana slums zaidi ya Kenya. Facts.

Hii hapa ndio hali ya LDC 🤣🤣🤣

 
Wacha kutiwekea takataka za 2010 pimbi ww
 
Insha yote ya nn hyo jamani wakati jwtz hawaujui mziki wake, watu wa AK47 tu kule mtwara walivuka boder na wakafanya je ingelikua wana RPG
 
Jamaa wapo kwenye denials
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…