Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Karibuni jirani, Nairobi will be your India from next year πŸ€£πŸ‘
 
Bila kusahau migomo ya madaktari na wauguzi isiyoisha kenya.
 
Noma sana mkuu dah🀣🀣,ghafla uko disco kwa lazima.
Yaani nishida kwa kweli nilikuwa na wakati mgumu ikifikia usafiri wao unawaza Kwanza,vibaka wanakuwa wengi mlangoni ukikaa dirishani labda unatumia smartphone yako mwanangu unaibiwa tukianza swala la usalama Nairobi zero kuna eneo moja wanaita River road unaibwa mchana kweupe hakuna msaada wowote Ila maswali ya ******* ndugu umeibiwa nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Noma sana.
 
Facts ni kwamba majeshi ya Somali,Djibouti,Burundi,Ethiopia,Uganda na Kenya yanapigana na alshabaab.Punguza propaganda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…