Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwn ulilazimishwa kupanda nganya, si yapo magari ya sacco pia
 
Yani Kenya wengi wanaishi chini ya Dola moja, Nairobi nyumba gharama ziko juu,chakula kizuri kwao lazima ugaramikie au sivyo utakula vitu vya ajabu uarishe kutwa nzima,kingine jamaa hawazingatii usafi unaweza uka kuta mgahawa pembeni maji taka yanapita,kwa kweli tumshukuru mungu kwa Tanzania yetu hata kama kuna umaskini sio umaskini wa njaa na style hiyo😏
 
Nenda jozy uone km utakuta chakula kw bei ya nyanya
 
Kwn ulilazimishwa kupanda nganya, si yapo magari ya sacco pia
Kwani nganya hazipo ndani ya Sacco?,hata ukisema upande city hoppa au,city shuttle,kbs etc kuna wazee pickpocket ndani kwa hiyo ni mtihani
 
Bado nilikuwa nashangaa ni aje Kenya ikuwe na silaha zimezeeka hivyo[emoji23][emoji1787][emoji23]. Bahati nzuri mkasema hizo ni silaha za Tz[emoji23][emoji23][emoji1787]
we kila siku huwa unaumbuka....

hakuna ujualo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

niendelee kukucgeka tu kwa kweli
 
Huyo ndio JPM alishasema hakuna port iliyokaa kimkakati km Dar port kwa Afrika hii, so ni aibu kuzidiwa na port ushuzi na ss wameanza kuisoma namba, meli 11 kwa wakati mmoja c mchezo, yn imefika kipindi traffic jam mpk baharini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…