ni ujinga kusema tuna nyumba nzuri eneo moja kama ilivyo au zaidi ya sehemu za nairobi kama hapo runda au karen lakini ni upumbavu kusema eti dsm ni uswazi tupu.Kwhyo dar kila sehemu kuna ikulu sio[emoji122][emoji122][emoji122]
Nyinyi kubalini ya kwamba hamna kitu ni uswazi uliotapakaa tu ndio manake drones ni aibu
Haha!!unajitia upofu sioKipi tume copy hapo?
yes hazifanani maana kibaha ina BRT lanes na yenu haina...Hakuna barabara Tanzania ambayo itawaishindana na Thika, alafu ni nyinyi watanzania ndio mlianza kulinganisha hiyo barabara na Thika. Sasa sijui mbona mnalia?[emoji23][emoji23]
Barabara za county na uchumi wapi na wapi[emoji23][emoji23]Sikuliza wewe, Kenya ni huo mkusanyiko wa hayo majimbo, bila hayo majimbo hakuna Kenya, jukumu la kuendeleza Kenya yote ndio jukumu la GoK chini ya Uhuru Kenyatta, hao wengine wanamsaidia Uhuru.
Hii tabia yenu ys kutuambia habari za majimbo kukwepesha udhahifu wa GoK hatutaki kurudia, Marekani ina majimbo, lakini lawama zote za uchumi kuzorota anarushiwa Trump, wacha ukabila, kwanini mnapenda sana "separatism?"
yes hazifanani maana kibaha ina BRT lanes na yenu haina...
Alaaa!!kwhyo gavana wao hapati mgao wa hela, ww unajua kwnn kila county inapewa mgao wa hela..Kwasababu hakuna mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa serikali ndio sababu wametelekezwa na GoK
yes BRT ndo habari ua mujini dogo!! iyo pekee inatosha kuifanya iitwe morden highwayIkiwa na BRT ndio haitakuwa ugly?[emoji1787][emoji1787]
wacha kelele nyingii!Alaaa!!kwhyo gavana wao hapati mgao wa hela, ww unajua kwnn kila county inapewa mgao wa hela..
Km hujui mambo uliza, eti wametelekezwa na wakati wanapewa hela[emoji23][emoji23]
Utopolo mtupu[emoji23][emoji23][emoji23],Kwani unadhani Tz hatuna existing HEP Dams?
Hata hiyo Reli ya wachina wameijenga nchini kwenu na kwa pesa, design, technology, materials zao 100% sisi huku tulishajenga tangu 1970s inaunganisha Dar Port na Zambia, kwaiyo tuseme Kenya imeiga Tz sio, maana the technology is the same, mabehewa na kila kitu, only small difference on the width,
Kuhusu Madaraja hamtakaa muifikie Tz, na bado tunazidi kujenga across oceans and lakes kwa pesa zetu, Kenya hata mishahara ya Kulipa wafanyakazi inakopa,
Kuhusu Stadia we are at different leagues, and you know it, Hilo Gofu la Karasani ni equivalent to CCM kirumba Mwanza, hata haufikii ule wa Z'bar,
Kimsingi Tz haina cha Kujifunza Kenya,
Labda Kenya ijifunze mambo kama BRT, rural electrification, Water services supply, maana hata Nairobi maji ni issue, Mjifunze pia kuwa taifa huru na muachane na siasa za kizamani ukabila.
Ushahidi wa magu wa mahindi umeyeyuka sio[emoji23][emoji23]sasa mnasaidiaje watz mnaacha ndugu zeni[emoji1][emoji1][emoji1].
mimi sijasema ushahidi wa kdf umepotea.
wewe endelea kusikia raha na hujaguswa.Ushahidi wa magu wa mahindi umeyeyuka sio[emoji23][emoji23]
Yani jamaa unavyonengua mpka raha
Hiyo kibaka road hata haiezifikia Ngong' road and yet you are dreaming about Thika[emoji23][emoji23]yes BRT ndo habari ua mujini dogo!! iyo pekee inatosha kuifanya iitwe morden highway
thika ni yakawaida tuu nothing special
mna daraja gani la maana[emoji23][emoji23]Utopolo mtupu[emoji23][emoji23][emoji23],
Tanzania sio madaraja, mabwawa, sgr, viwanja, stadiums vyote hvyo tulivifanya kitambo...
Yani sai mpo ile kenya ya 90s
Standard digital sio CBK na wala habari yako haibadilishi ukwel km turkana wanapewa hela nyingi za kujiendeleza lkn wamelala..wacha kelele nyingii!
Budget deficit, rising debt bad for Kenya – experts
The deficit is projected at a high of 7.5 per cent of GDP in the wake of Covid-19www.the-star.co.ke
now
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]one of its kind first in east and central and all africa +world and all 7 continents floating bridge by uwezo wa mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana binadamu kashindwa kuliflotisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205]Naomba tuendelee kuwaombeeni wakenya dua walau yesu ashuke aje kuwasaidia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1648918View attachment 1648919View attachment 1648920View attachment 1648921
Ngong ndio brt ya kenya???Hiyo kibaka road hata haiezifikia Ngong' road and yet you are dreaming about Thika[emoji23][emoji23]
Tena naskia raha unavyozidi kuwehuka[emoji23][emoji23]wewe endelea kusikia raha na hujaguswa.
kwani nyinyi(kdf) si mlipeleka mabati,hao watu walikula bati mlizopeka???
Ngong' is a high quality road in Nairobi, it's better than any road in Tanzania[emoji23][emoji23]Ngong ndio brt ya kenya???