You won't like this route you are taking[emoji23][emoji23][emoji23]. Nairobi[emoji116][emoji116][emoji116]Am not talk about eldoret am just talk about Nairobi but if you want eldoret to help nairobi then welcome .
Dar against Nairobi+eldoret combined
Old picturesEbu weka current picture, I want to see something
Mimi nimetaja Nigeria wapi kwa hio comment yangu? Mbona hueleweki?Hivi unaijua Nigeria ama? Nigeria hiihii isio na umeme wa uhakika kama Kenya!
Eneo la kugawia chanjo za mifugo ๐Haya sasa linganisha hiyo the current state of Mbeya Stadium na Kinoru Stadium[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. View attachment 1649136
Mbona ni kama ushalemewa tayari?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Eneo la kugawia chanjo za mifugo [emoji38]
Eldoret town
Hukuona jana mi sikutaka mengi, nilitaka afanye km aliyoulizwa je tender kapewa nani[emoji23][emoji23][emoji23]Kitu nimegundua ni kuwa watanzania ni waongo sana[emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna mwingine alidanganyana kuwa hii ni render ya proposed bridge in Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. View attachment 1649063
Wakenya bwana,yaani kikota kidogo ndio unasema huko huitwa slum,ukifika Tanga raskazone ni kama masaki.na ni mji wa zamani.This is Kaloleni slum in Kisumu[emoji23][emoji1787][emoji23], it's well planned than anything in Tanzania.View attachment 1648940
Msamehe jamani[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Umesema vijana washachukuliwa kwa ajili ya hiyo bridge?[emoji23][emoji23]
Dodoma ni village tu mliobandika Jina capital city. Angalia a real city ya Kenya, Kisumu ๐๐
Great pergola design, I did that for my outdoor area as well...
Westlands alone is 97.5 sq. km, if I add Kitusuru that is 21.6 sq. km that's already more than affluent neighborhoods in the who of Dar yet they are way Classier than those of Dar. When it comes to affluent neighborhood, no city in Eastern Africa comes close to Nairobi.In dar es salaam better suburb areas with rich and high and upper middle income.
85% of residence from these area.
Mbezi beach 16km^2
Mikocheni 22km^2
Kunduchi beach 9.5km^2
Mbweni 8km^2
Osterbay +masaki 36km^2
Upanga east+west 9.1km^2
Dege eco village 1.3km2
Ununio 4.1km2
Posta City center 7.04km2
K/koo 2km2
Sum up unapata 115.04km square ya jiji la dar es salaam ni high level end + uppermiddle sub urbs
Na hii bado kuna maeneo sijaweka.
Wakazi wanaomiliki hayo maeneo ni almost their economy scale not less than 1m USD,, hii ni asilimia 7% ya jiji la dar eslaam..
Ingekua nairobi+game reserve iyo ingekua 17% ya jiji lote la nairobi.
Ndo mana tunasemaga nairobi ni ndogo ukihamisha jiji la dar nairobi hutapata hata sehemu ya kujenga barabara probably hata uswazi ya tanzania itakosa pa kukaa. Ila nyie bado sana na kijiji chenu kidogo icho bado mna slum za kufa mtu..
I don't expect much from that meeting. Remember that Somaliland is not recognised internationally, even though it functions as a fully independent country.Tomorrow uhuru Kenyatta will meet somaliland president what do you think about it Kenyans