My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,604
- 11,898
Sasa hapo ndio umeandika nini ? ?Maana ya internet penetration ni followers wengi insta sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo hapo maina kagemi hajafikisha hata 1m followers insta lkn millard kwake hamfiki hta kidogo kando na followersView attachment 1650760
😂😂😂😂😂 Wewe ni mpumbavu! Kwani watu wanaishi ndani ya station? Station ni sehemu ya kupita na ukubwa wake uko determined by the frequency of use! Station za Dar na Morogoro Ndio kubwa zaidi kwasababu ni miji yenye Idadi kubwa ya watu hivyo usafiri katika miji hii ni very frequent. Sasa wewe kichwa boga unataka kuniambia mji kama Ngerengere unatakiwa uwe na station kubwa kama ya Morogoro? Hivi una akili kichwani?Kwhyo nyinyi hamuwazi nje ya circle kabisa, au unafikiria SGR ni mradi wa miak miwili mitatu..
Sa zingine hata km unatetea ujinga lkn usifikie level hii yenu bana, mnatisha sana kidunia katika anga za kutumia akili ipasavyo
Asante. Kwasababu nilidhani ni mimi Peke yangu Ndio sijaelewa hayo matapishi aliyoandika 😂😂😂Sasa hapo ndio umeandika nini ? ?
Huyo unamfahamu wewe na wakenya wenzako ila Milard Ayo anafahamika East and Central Africa tena hadi nje ya bara la Africa anafahamika.Maana ya internet penetration ni followers wengi insta sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo hapo maina kagemi hajafikisha hata 1m followers insta lkn millard kwake hamfiki hta kidogo kando na followersView attachment 1650760
sisi tutaongeza ukubwa wa kibanda miji ikikua zaidi eneo husik,nyinyi mtavunja reli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],nugu wa kike.Matumizi sahihi ya akili ni kujenga kibanda cha kuku katika mradi wa takribani miaka 50 na kwenda sio[emoji1787]
Au bado nyie mnaendekeza rural urban migration hadi hivi sasa, tuelezeni tujue jamani
Akili watazitoa wapi na njaa hiyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe ni mpumbavu! Kwani watu wanaishi ndani ya station? Station ni sehemu ya kupita na ukubwa wake uko determined by the frequency of use! Station za Dar na Morogoro Ndio kubwa zaidi kwasababu ni miji yenye Idadi kubwa ya watu hivyo usafiri katika miji hii ni very frequent. Sasa wewe kichwa boga unataka kuniambia mji kama Ngerengere unatakiwa uwe na station kubwa kama ya Morogoro? Hivi una akili kichwani?
Hivi hua Hawaoni haya? Wala vibaya? Scandal ya kemsa bado bichi tena Hili duuuhanother scandal loading (nchi ya wapigaji)
Sasa mji km moro unaokua kw kasi vile ni wa kuujengea kitu ovyo km kile, kwn ni zizi la ng'ombe nn[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe ni mpumbavu! Kwani watu wanaishi ndani ya station? Station ni sehemu ya kupita na ukubwa wake uko determined by the frequency of use! Station za Dar na Morogoro Ndio kubwa zaidi kwasababu ni miji yenye Idadi kubwa ya watu hivyo usafiri katika miji hii ni very frequent. Sasa wewe kichwa boga unataka kuniambia mji kama Ngerengere unatakiwa uwe na station kubwa kama ya Morogoro? Hivi una akili kichwani?
Mbona unaficha mafeeling yako behind emojs[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole[emoji1787][emoji1787]
Kufahamika kwake na kumzidi followera bado hakumfanyi yeye kuzidiwa na huyo mwamba[emoji1787][emoji1787]Huyo unamfahamu wewe na wakenya wenzako ila Milard Ayo anafahamika East and Central Africa tena hadi nje ya bara la Africa anafahamika.
Zizi hilo, baada ya miaka kadhaa mnavunja[emoji1787][emoji1787]Mbona unaficha mafeeling yako behind emojs[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole
Nikiendelea kubishana na wewe na mimi nitaonekana mjinga. Baki na ujinga wako wa kikenya!Sasa mji km moro unaokua kw kasi vile ni wa kuujenga kitu ovyo km kile, kwn no zizi la ng'ombe nn[emoji1787][emoji1787]
Tena umerudi pale pale km tz hamuwazi nje ya circle, sasa huu ni upupu gani ulioandika yani moro ndio haitokua baada ya miaka kumi..
Anyway tz miji yenu haikui mpla mngoje serekali wawajengee tena ma ofisi ya uma[emoji1787][emoji1787]
Kwn sgr inadumu ndani ya miaka mingapi engineer[emoji848][emoji848]sisi tutaongeza ukubwa wa kibanda miji ikikua zaidi eneo husik,nyinyi mtavunja reli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],nugu wa kike.
hiyo yenu mmejenga ya miaka 70 iliyopita,ni ujinga kudhani itakaa hapo even 15yrs to come,wakati saa hii imeanza kuleta hasara[emoji38][emoji38][emoji38]Kwn sgr inadumu baada ya miaka mingapi engineer[emoji848][emoji848]
Kwn ni uongo nyie mnasubiria serekali wawajengea ofisi za umma tayari mnaita cityNikiendelea kubishana na wewe na mimi nitaonekana mjinga. Baki na ujinga wako wa kikenya!
Naona umeshindwa kumezaSasa hapo ndio umeandika nini ? ?
Peleka ujinga huko...kumbe hata mana ya penetration ni shida kwako[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]km mko na watumiaji wengi wa internet manake lazima utaona hata watu marufu wakiwa n followers wengiMaana ya internet penetration ni followers wengi insta sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo hapo maina kagemi hajafikisha hata 1m followers insta lkn millard kwake hamfiki hta kidogo kando na followersView attachment 1650760
Oneni hii certified nincompoop.Kufahamika kwake na kumzidi followera bado hakumfanyi yeye kuzidiwa na huyo mwamba[emoji1787][emoji1787]
Leta highest paid media personalitie wa tz tulinganishe na wa kenya uone km hamna lolote katika hyo sector
Mwaka huu imeleta hasara ya shillingi ngapi engineerhiyo yenu mmejenga ya miaka 70 iliyopita,ni ujinga kudhani itakaa hapo even 15yrs to come,wakati saa hii imeanza kuleta hasara[emoji38][emoji38][emoji38]
Sema kukomalia vitu wala sio internet penetration, internet penetration maana yake sio followers midanganyika[emoji1787][emoji1787]Peleka ujinga huko...kumbe hata mana ya penetration ni shida kwako[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]km mko na watumiaji wengi wa internet manake lazima utaona hata watu marufu wakiwa n followers wengi