Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo excuses zako za kijinga peleka kwa choo,[emoji23][emoji23][emoji23] kwani ulikuwa hapo wakiongea na simu ukaona kama rais wa China ndio alipiga? Ama Magufuli alimtumia ujumbe ya "please call me" ?[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23],
Ukishindwa hoja unakimbilia kwenye childish argument na emojiz, hii habari ya Xi kumpigia Magufuli imeripotiwa na karibu international media zote, so nao wanadanganya?
 
Tafuta watu wa kudanganya[emoji23][emoji23][emoji1787], the remaining amount mlipewa na Africa development Bank[emoji23][emoji23][emoji23]. T
Yani kinachokuuma ww ni kwann tanzania ijenge nusu ya. SGR kwa pesa zake za ndani kwann kenya imeshindwa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ukishindwa hoja unakimbilia kwenye childish argument na emojiz, hii habari ya Xi kumpigia Magufuli imeripotiwa na karibu international media zote, so nao wanadanganya?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
ulivyokuwa chizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaleta stor za airport ....dom

pole sana,haujui hata unachokiongea
 
M nishangae watoe $0.4 kisha mkulu asiseme[emoji1787][emoji1787]
Hapo ukiomba evidence utazungushwa na emojis

Project phase two ni 1.9b usd nani asiejua kwann watoe 1.4b na hio 0.5b katoa nani hebu tujiulize mm na ww🀣🀣🀣🀣
 
M nishangae watoe $0.4 kisha mkulu asiseme[emoji1787][emoji1787]
Hapo ukiomba evidence utazungushwa na emojis
Hawa ni wajinga sana, watoe pesa wapi ya kufinance the remaining $400m[emoji1787][emoji1787][emoji23]

 
Uhehehehhehehhehehehe this is what ur posting πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kweli yani umeishiwa pumzi namna hiii
 

Project phase two ni 1.9b usd nani asiejua kwann watoe 1.4b na hio 0.5b katoa nani hebu tujiulize mm na ww[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116]
 
Hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1651448
Mbona link hunaweka kama hiiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Rudi hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1651451
Mbona source huweki kama hii ulioweka alaf ukakalia kuti kavu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…