Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona source huweki kama hii ulioweka alaf ukakalia kuti kavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
SGR ya Tanzania ni deni mwanzo mwisho[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
 
Nashangaa eti mtu apigiwe then awe na agendas already [emoji23][emoji23][emoji23]

Wivu tu, mwishowe watasema ile barua ya macron juzi Magufuli kajitumia mwenyewe [emoji28][emoji28][emoji28]
Magu kapigiwa simu ili akope mikopo nafuu, mbna hatujakataa kapigiwa jamani..
Lkn na yeye katumia hyo fursa na kuzungusha bakuli chap chap[emoji1787]
 
Shidako yako ni kuoza kwa akili[emoji23][emoji23][emoji23], Standard Chartered bank walitoa $1.46b alafu Africa Development Bank wakatoa $455m which brings the total to $1.9b[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Em Onesha adb ikitoa huo mkopo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wivu utakuua wewe
Dar to Morogoro, $1.2B Fully funded by GoT

Morogoro to Makutopora, $1.9, ADB wametoa $1.4B, GoT imetoa $0.5B

Net work nzima itagaharimu $14B, kuna tutakazokopa lakini nyingi tutatoa wenyewe.

Muhimu ni kwamba, hatujengi kwa kutegemea mikopo full kama ninyi, na mikopo tunayochukua sio "Commercial".[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulia sindano ingie[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1651444
ile link uliyoileta nishakuymbua kilichobakia sasa nikuruka ruka....
hutoshi mboga msofo wangu,unaokota vitu halafu vinakuumbua mwenyewe.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

mi nakupitisha kwenye ile ile link yako iliyokuumbua kuwa Afdb imetoa mkopo wa 455usd...

hebu pitia na hii kwanza kisha nikurudie kwenye hako kascreen shot maana hakana mantiki unapenda kujifurahisha for nothing
 
🀣🀣🀣🀣🀣 ndio maana akiambiwa alete source anakimbia ila wameumia sana hawa jamaaa
 
Magu kapigiwa simu ili akope mikopo nafuu, mbna hatujakataa kapigiwa jamani..
Lkn na yeye katumia hyo fursa na kuzungusha bakuli chap chap[emoji1787]
Ewaaa hapo umepatia, sisi tunakopeshwa pesa taslim, hatukopeshwi mapipa ya chang'aa yaliyothaminishwa kwa pesa taslim, hiyo ndio tofauti ya tanzania na Kenya

Na hatupapatikii huwa tunafuatwa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…