huo ndiyo ukweli,download direct kwa play store....Mm binafsi naikubali sn pes kuliko fifa ila tangu simu iharibike nashindwa kuipakua tena kila nikiipakua kwenye ku extract inagoma, but piga ua lazima niichukue cz hakuna game la mpira la simu linafikia pess.
huyo kashazoea kucheza game za kupanga na ile ya panda.....[emoji1787][emoji1787]Heheheee angalia huyo niliyemsajili ndiyo content yenyewe [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1651955
Hapana mkuu simu yng iko vzr tu ila haya magemu ya pess hayapatikani kule play store yanapatikana Google, kule play store lipo la 2021 na 2019 ambayo huwa siyapendi, mm napenda ya kutumia ppsspp, ila kuna jamaa kashanipa mbinu niingie site gani cz nimepoteza gb nyingi sn kwa kupakukua file za pes kutoka site za kihuni.huo ndiyo ukweli,download direct kwa play store....
au version ya simu ipo down chief...?
Anajifanya hajaona km nimemsajili Samatta [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]huyo kashazoea kucheza game za kupanga na ile ya panda.....[emoji1787][emoji1787]
yupo local sana achana naye
simu yenyewe anayotumia ni itel andtoid version 2.1.0
Kweli Kaka Jamaa nmekaa mda mwingi Sana asili ya mkenya ni sifa,kiburi na dharau,ndo maana mara nyingi hua napotezea arguments za kijinga Una Toa facts bado ubishi tu🙄aiseee hao kunguru wa kikenya hawatuwezi hata robo
hapo nimekupata ,,kumbe unataka kuectract kipitia ppsspp.........ningekupa taff sema kipengele inabidi utulie mbona chap tu apo....Hapana mkuu simu yng iko vzr tu ila haya magemu ya pess hayapatikani kule play store yanapatikana Google, kule play store lipo la 2021 na 2019 ambayo huwa siyapendi, mm napenda ya kutumia ppsspp, ila kuna jamaa kashanipa mbinu niingie site gani cz nimepoteza gb nyingi sn kwa kupakukua file za pes kutoka site za kihuni.
Yn mm nikinunua simu miongoni mwa files za kwnz kabisa ku download ni pes haikosagi kwenye simu yng [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe bado wapo kwenye maintenance ndo mana ilinimalizia gb hii, nilimaliza kila kitu na bado wakataka kunipiga gb nyingine eti ni update efootball nkaachana nayo.hapo nimekupata ,,kumbe unataka kuectract kipitia ppsspp.........ningekupa taff sema kipengele inabidi utulie mbona chap tu apo....
ila hii ya play store ipo better mkuu
sema wapo kwenye maintanance nowView attachment 1651982
hawana ishu hao,,,we wachore tu.......Kweli Kaka Jamaa nmekaa mda mwingi Sana asili ya mkenya ni sifa,kiburi na dharau,ndo maana mara nyingi hua napotezea arguments za kijinga Una Toa facts bado ubishi tu[emoji849]
Hawa ni kutembea nao kichizi chizi km walivyo wao.hawana ishu hao,,,we wachore tu.......
asilimia kubwa ya hawa tunaobishana nao ni chokoraa type....njoroge girls na njoroge boys
hivyo wazoee wanajifurahisha
bicho ndicho wanachozingua ni game ambalo lipo update mara kwa mara......washikaji wapo kibiashara sanaKumbe bado wapo kwenye maintenance ndo mana ilinimalizia gb hii, nilimaliza kila kitu na bado wakataka kunipiga gb nyingine eti ni update efootball nkaachana nayo.
Nipe maujanja mwanangu nipate kipenda roho changu.hapo nimekupata ,,kumbe unataka kuectract kipitia ppsspp.........ningekupa taff sema kipengele inabidi utulie mbona chap tu apo....
ila hii ya play store ipo better mkuu
sema wapo kwenye maintanance nowView attachment 1651982
file lako ni la pes mwaka gani..?Nipe maujanja mwanangu nipate kipenda roho changu.
La 2018file lako ni la pes mwaka gani..?
pitia kwa umakini hizi tips mzeeLa 2018
Zarchiver nnayo mkuu, so ngj nipitie hii kitu zen nipambane, thnks bob.pitia kwa umakini hizi tips mzee
ila kwanza download app inaitwa Zarchiver
ikifail hiyo pita pia na hii maana huwa zinaisumbufu kiasiLa 2018
fanya kuiclear data ili uanze upyaZarchiver nnayo mkuu, so ngj nipitie hii kitu zen nipambane, thnks bob.
hizi linķ ukifingua zidownload offline ili ufanye kirahisiZarchiver nnayo mkuu, so ngj nipitie hii kitu zen nipambane, thnks bob.
hizi linķ ukifingua zidownload offline ili ufanye kirahisi
Poa poa mkuu ngj nikitulia ntafanya mambo zen nitakupa mrejesho.fanya kuiclear data ili uanze upya